dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 623
- Thread starter
-
- #21
Tatizo vipimo hawasemagi na kutuacha na mamawazoHivi mwanaume naweza nikawa adunje\kibushuti kama nitakuwa below sentimita au futi ngapi? Hebu nidadavulie ili nione kama naweza kuwa na wewe au siwezi.
Ni kweli mkuu ila jitahidi awe na sifa at least unazozitaka ili jata ukiona mwingine zaidi yake tofauti inakua ndogo,utaoa lakini utakutana na wengine zaidi za mke wako. haya mambo ni mungu tuu.
Konde boyKama Harmonize!
Woii 😂😂😂 eti kweli?? Shunie[emoji2960] Mimi ni gentleman,mrefu,mweupe [emoji23][emoji23][emoji23] ila sina kipara.
bibie [emoji7][emoji7]Umenifurahis
ha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2960] Mimi ni gentleman,mrefu,mweupe [emoji23][emoji23][emoji23] ila sina kipara.
HahahaaVibushuti vinakula papuchi kama vile vijibwa vya chihuahua breed [emoji6][emoji1787]
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ngoja ajee😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu ni tag.
Mwanaume kibushuti ndio yupoje huyo?Me kwakweli piga ua galagaza mwanaume kibushuti anisamehe tuu kwakweli,.japo wana mbwembwe zao kwa bedii[emoji39][emoji39][emoji851]siwezi kwenda nae altarini asee..
hajafika tu mama mkwe wangu?Ngoja ajee[emoji23][emoji23][emoji23]