dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 623
KhaaUkitaka kuishi vizuri na mkazidi kumpenda mke wako unatakiwa uoe mtu mwenye vitu unavyovipenda mfano,kama unapenda mwanamke mwenye chura kidogo usijaribu kuoa ndizi mshale a.k.a flat screen,sababu ukioa ndizi mshale nawewe ulikuwa unataka chura kila ukimuona mwanamke mwenye chura utakuwa unashtuka na roho inakuuma,na kujipa moyo eti mwanamke ni tabia, au mfano mkeo hana chura itabidi utafute bekitatu asiye na chura ili mkewako apone,kuna mtu alikuwa anatafuta beki tatu ila akatoa vigezo eti asiwe na chura,kufwatilia kumbe yeye hana sasa akawa anaogopa,ndo maana nikaja kuanzisha huu Uzi.
kibushuti ni nini?Me kwakweli piga ua galagaza mwanaume kibushuti anisamehe tuu kwakweli,.japo wana mbwembwe zao kwa bedii[emoji39][emoji39][emoji851]siwezi kwenda nae altarini asee..
Andunjekibushuti ni nini?
[emoji102] duh!Andunje
We kibushuti??🙄[emoji102] duh!
[emoji2960] Mimi ni gentleman,mrefu,mweupe [emoji23][emoji23][emoji23] ila sina kipara.We kibushuti??[emoji849]
[emoji2960] Mimi ni gentleman,mrefu,mweupe [emoji23][emoji23][emoji23] ila sina kipara.
Kama Harmonize!Andunje
Vibushuti vinakula papuchi kama vile vijibwa vya chihuahua breed 😉🤣Me kwakweli piga ua galagaza mwanaume kibushuti anisamehe tuu kwakweli,.japo wana mbwembwe zao kwa bedii😋😋🤓siwezi kwenda nae altarini asee..
Kama huo mkono ulioshika bia ni wako na unasema mweupe basi unahitaji kujiangalia tena kwenye kioo.[emoji2960] Mimi ni gentleman,mrefu,mweupe [emoji23][emoji23][emoji23] ila sina kipara.
ha[emoji2960] Mimi ni gentleman,mrefu,mweupe [emoji23][emoji23][emoji23] ila sina kipara.
[emoji41] ni wangu mbona ni moja Kati ya mikono mieupe kabisa.Kama huo mkono ulioshika bia ni wako na unasema mweupe basi unahitaji kujiangalia tena kwenye kioo.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kweli asee mm binafsi nikiolewa na mwanaume mweupe afu mda ote anatabasam yaan ntapata tabu ndoani mbka basi mda ote ntaona kuna kitu hakiko sawa kwa fundi angu aka mme.Ukitaka kuishi vizuri na mkazidi kumpenda mke wako unatakiwa uoe mtu mwenye vitu unavyovipenda mfano,kama unapenda mwanamke mwenye chura kidogo usijaribu kuoa ndizi mshale a.k.a flat screen,sababu ukioa ndizi mshale nawewe ulikuwa unataka chura kila ukimuona mwanamke mwenye chura utakuwa unashtuka na roho inakuuma,na kujipa moyo eti mwanamke ni tabia, au mfano mkeo hana chura itabidi utafute bekitatu asiye na chura ili mkewako apone,kuna mtu alikuwa anatafuta beki tatu ila akatoa vigezo eti asiwe na chura,kufwatilia kumbe yeye hana sasa akawa anaogopa,ndo maana nikaja kuanzisha huu Uzi.
utaoa lakini utakutana na wengine zaidi za mke wako. haya mambo ni mungu tuu.Ukitaka kuishi vizuri na mkazidi kumpenda mke wako unatakiwa uoe mtu mwenye vitu unavyovipenda mfano,kama unapenda mwanamke mwenye chura kidogo usijaribu kuoa ndizi mshale a.k.a flat screen,sababu ukioa ndizi mshale nawewe ulikuwa unataka chura kila ukimuona mwanamke mwenye chura utakuwa unashtuka na roho inakuuma,na kujipa moyo eti mwanamke ni tabia, au mfano mkeo hana chura itabidi utafute bekitatu asiye na chura ili mkewako apone,kuna mtu alikuwa anatafuta beki tatu ila akatoa vigezo eti asiwe na chura,kufwatilia kumbe yeye hana sasa akawa anaogopa,ndo maana nikaja kuanzisha huu Uzi.
Hivi mwanaume naweza nikawa adunje\kibushuti kama nitakuwa below sentimita au futi ngapi? Hebu nidadavulie ili nione kama naweza kuwa na wewe au siwezi.Andunje