Zingatia haya ili usipate matatizo nyumbani kwako

Ukishapiga dua yako inatosha usiache viti wazi ina maana ukae usilale au..
 
Huyo Roho chafu Mwambie aje kwangu aone jinsi atakavyokuwa Roho safi.
 
Watu bado wanaamini hizi story za danganya toto sijui ghosts/roho chafu/majini/mizimu/wanga! Miafrika bado tuna safari ndefu
 

Usiangaliane na kioo wakati wa kulala!
Hii je? Maana mm lazima nifunike kioo wkt wa kulala
 
Hizo roho chafu zinapenda usku kuliko mchana maana usiku Kuna Giza

Hapo kwenye kuweka kitu juu ya kiti ukiwa umelala kwani hao roho chafu hawawezi kutoa hicho kitu ulichoweka juu ya kiti ?

Yan roho chafu iweze kusafiri bila kuonekana alafu ishindwe kupita kwenye Kona ya ukuta kisa tu umeegesha mtwangio??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…