Kura yako isizidi nje ya kisanduku cha kupigia kura..usipige kura zaidi ya mgombea mmoja..usiandike maneno mengine zaidi ya kuweka tick au vema tu..usiandike namba yako ya simu..usichore kitu chochote kwenye karatasi ya kupigia kura. Cha mhimu ni wewe weka tick tu kwa mgombea unayemtaka kura yako itakuwa halali.