Zinduna njoo unitulize mtima wangu...

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
20,149
Reaction score
40,918
Wanajamii wenzangu mwanajamii mwenzenu nimezama kwenye dimbwi la mahaba ya dhati kwa kimwana Zinduna.

Naombeni Msaada wenu jamani wanajamii wenzangu hatimaye nimtwae..kimwana Zinduna..naa hidi kumhonga hata Fekon yangu....nisaidieni jamani..mwenzenu.
 
Duh, sasa umezamaje kwenye dimbwi hata humfaham? Hem' wekeni miadi ya kukutana kwanza, pale forodhani gardens, huwa anapenda sana kubarizi pale wikiendi...then baada ya hapo ulete mrejesho...!!
 
Hahaaaaa kweli Zinduna wa kuhongwa Fekon? Si bora hata ingekua Boxer?

Ila mkuu utamuweza kweli mtoto wa mwambao yule? Manaake mada zake duuhhh.....Kila la kheir
 
Last edited by a moderator:

anamiliki fekon.. kumwambia aende forodhani ni kumpa mitego..
 
Duh, sasa umezamaje kwenye dimbwi hata humfaham? Hem' wekeni miadi ya kukutana kwanza, pale forodhani gardens, huwa anapenda sana kubarizi pale wikiendi...then baada ya hapo ulete mrejesho...!!

nitajitahidi..nifike hapo nikamwone kimwana Zinduna
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa kweli Zinduna wa kuhongwa Fekon? Si bora hata ingekua Boxer?

Ila mkuu utamuweza kweli mtoto wa mwambao yule? Manaake mada zake duuhhh.....Kila la kheir

nitamuweza mkuu...ondoa hofu....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…