Zinduka tokomeza Malaria

Zinduka tokomeza Malaria

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2007
Posts
1,408
Reaction score
162
Juzi rais alizindua kampeni ya kutokomeza malaria (Zinduka) ambayo ilipambwa na burudani mbali mbali kutoka kwa wasanii tofauti tofauti wa hapa nchini na nje ya nchi, kilicho nishanganza kwenye kampeni hii ni kwa wauzuriaji walitozwa kiingilio cha sh 3,000 hii imekaje kwa tamasha lililozaminiwa na waisani ambalo lengo ni kutogomeza malaria na kutoa elimu kwa wananchi ya kujikinga na ugonjwa wa malaria...
 
hii haileti maana kabisa,kwa nini 3000?tulipaswa kewnda bure pale but ndo wadau washaamua tungefanyaje?
 
By the way, I did not see any connection btn uzinduzi and malaria
 
Hii mbona imerudiwa kuna thread tayari imehoji naomba ziunganishwe
 
Back
Top Bottom