Polepole ni kuwadi wa Jk na ni mtumwa wa Tiss.Ndio ameanza kuvua ngozi ya mabaka baka ya kondoo na kuonyesha sura yake ya mbwa mwitu.
Katika hilo kwa watu kama huyo polepole kuna kitu huwa najiuliza,iweje mtu/watu wamejitoa mhanga kukuletea ukombozi kwa hoja zinazoeleweka halafu bado wanakataliwa na wanakubali kuendelea kuibiwa na CCM?
Nasisitiza kuwa hakuna maendeleo bila mabadiliko.