Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
Taqqiya ni practice ya kila Muislamu na sio Shia peke yao. Mohammed aliwafanyia Wayahudi na hata hivi karibuni Yassir Arafat alinukuu hiyo fact wakati anaulizwa kuhusu mkataba wake na Israel Camp David.
Chagua Chief(Mfiakweli)
katika mada hizi
1)NDOA YA MUT-A NA HUKMU ZAKE
2)WANAOMILIKIWA NA MIKONO YA KUUME
3)USHIA NA QURAAN
4)USHIA NA MTUME WA ALLAH
Chagueni mada moja
tuiongelee mpaka mwisho
Kwa hoja sahihi zilizo madhubuti
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitarudi. Kazi kwanza
Uongo ulio vuka Mipaka
Kisha
Yaasir Arafaat si Ushahidi sahihi katika Hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhalisia kwa tabia yangu dini ambayo inanifaa ni uislamu.mimi napenda niwe na mwanamke zaidi ya mmoja,so ntapata nafasi ya kuoa wanne ambao pia wakinizingua nawapiga chini.
Pili mimi nachukia habari za kuwapenda maadui. So hao nitawaadhibu vizuri sana wakiingia kwenye 18 zangu.masuala ya kusema wasamehewe na mimi nina hasira na kisasi naona ni udwanzi sana.
Jino kwa jino na jicho kwa jicho
Kwa maneno yako ya mwisho
yanaonyesha wazi kabisa
Huna NIA njema Chief
Namuomba Mola akuongoze katika usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna nilipokosea maana quran inaruhusu kulipa kisasi. Kama mtu amenikosea inaruhusu pasina shaka kulipiza maana ni haki. Kitu ambacho kinani bore kwa wakristo wao wanazuia na wakati mimi mtu kanikwaza. Wakristo wanatakiana kusamehe 7x70. Why? Hapo inakuwa ngumu.
CHIEF MFIAKWELI
Hujajua maana ya neno TAQIYYAH
labda nikupe maana yake
TAQIYYAH
NI KUDHIHIRISHA MTU MAMBO YA KIIMANI(DINI) KWA WATU,AMBAYO HAYAPO KIFUANI MWAKE
Mfano
Kukudhihirishia mimi kuwa ni Mkristo kama ww,tena wa Dhehebu la Katoliki,ilihali sivyo,ni kiwa na maana yangu na malengo
UISLAM
unakemea TAQIYYAH na kusema ni moja ya alama za UNAFIKI WA MTU
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yako yaliyo ndani ya MabanoNa kuingia mkataba (wakati huna nguvu) ukiwa na nia ya kuuvunja (baada ya kupata nguvu za kutosha) kunaitwaje?
hhhhhhhhhh...Maneno yako yaliyo ndani ya Mabano
yananipa shaka sana katika kukujibu ww
unaposema
Ukiwa na nia ya kuuvunja Mkataba baada ya kupata nguvu
Una maanisha nn?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tafsiri hiyo, vijana ambao hawapo kwenye ndoa wakifanya ngono(wakijamiiana) hiyo mnaitaje?? Sio zinaa?Sina nia ya kukashifu dini ya mtu au mtu binafsi ila naomba ufafanuzi.
Zinaa inatafsiriwaje katika Uislamu? Kwa Mkristo kufanya ngono nje ya mahusiano ya ndoa ni ama uasherati (in case mmoja wa wahusika wa hicho kitendo hana ndoa) au uzinzi (kwa muhusika aliemo kwenye ndoa).
Nyie ndugu zetu Waislamu mnautafsiri vipi uzinzi?
Habari ndio hiyo! hhhhhhhhhh...Buhahahahahah
Ndio tafsiri ya neno TAQIYYAH uliokuja nayo
umeeleweka Bro(Mgen)
Sent using Jamii Forums mobile app