Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
Lakini Shia nao ni Waislamu na mtume wao ni yule yule Mohammed mtume wa Wasuni! Na Qur'an inayotumika ni hiyo hiyo moja. Iweje sheria iwe halali kwa Washia lakini ikawa haram kwa Wasuni?
acha upuuzi
Shia Mtume wao si Mohammad
Na Quraan wanaikataa
niliwahi kukuambia,usilazimishe jambo usilolijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Shia mtume wao ni nani? Na ni kitabu gani wanachotumia kama sio Qur'an wanayotumia Sunni?
Hata ww unaweza kuitumia Quran Bro
ila ukakikataa na kukipinga
Wao Quraan yao wanaiita
MUS-HAF FAATIMA
Hii tuliyonayo,wanaikataa
Sent using Jamii Forums mobile app
"Na wala msiikaribie kabisa zinaa(sio tu msifanye bali hata msiikaribie), hakika huo huo ni uchafu na ni njia mbaya kabisa" Qur an Kareem
Hii ni contradiction kwa sababu Mohammed alikuwa anabaka wake za watu na kusex nao kwa ulazima, pia alibaka kichaa na kudu naye, na akawa anawaambia wafuasi wake kuwa kubaka si kosa....habari kamili hii hapa kwa wale wabishi:
1. Thou shall Rape, Marry, and Divorce Pre-pubescent Girls (watoto wadogo). Qur'an 65:4
2. Thou shall have Sex Slaves and Work Slaves. Qur'an 4:3, 4:24, 5:89, 33:50, 58:3, 70:30
Nilitaka unipe jina la mtume wa Shia kwanza. Anyway, soma hapa halafu nipe ushahidi tofauti unaotbibitisha kuwa Shia hawatumii Qur'an inayotumiwa na Sunni.
Firstly, Muslims (Shia, Sunni) don't worship it, haply know it as the words of Allah (as the revelation or Vahi) to Prophet Muhammad (peace be upon him and his household) … The Quran is the same and this is the opinion of most or may be all of Shia scholars. ... Consequently the Quran of Shia and Sunni are the same.
Do the Sunni & Shia worship from the exact same Quran? - Quora
Watakuambia hiyo ni kwa mujibu wa Shia ila sio Sunni.
Acha maneno ya ajabu Bro
Kuitumia na Kuiamini,ni vitu tofauti
Ww unaitumia Quraan,lkn huiamini
Wataka niseme na ww ni Muislam?!
Shia wanaikataa Quraan na kuibeza
hata kama wanaitumie
kisha ajabu kwako
Unakwenda katika Website zao,na kuchukua takataka,unataka kutuaminisha sisi Waislam na tufuate haya unayotuma kutoka kwao?!
labda nikuulize Mkuu
samahani lkn
Ww ni wakala wa Mashia?!
mpaka unashika bango tuwaamini kama unavyowaamini ww?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni academician Mkristo. Nimekuwa nasoma Qur'an muda mrefu na sijaona mahali popote au kumsikia mtu yeyote (kabla yako) kuwa Shia wana mtume wao (ambae hadi sasa hujamtaja jina) na Qur'an yao tofauti na Sunni.
Tumeshawazoea hawa watu, sielewi kwanini hawapendi ukweli.
Bro
Kaa chini usome,na si kuchukua maneno katika majalala ya Kimitandao
usiseme hata siku moja
zamani mlikuwa mnatudanganya,leo kila kitu kipo wazi
Naa ni kweli kila kitu kipo wazi
lkn tahadhari
Hata ujinga pia upo wazi,tena sana
Kwann ndg Mfiakweli,huwezi kujua,ni ipi ipo sawa na ipi ni chenga,utajiokotea tu kwa kudhani umeokota dhahabu!!!!
Hasara itakuvaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huo ndio ushahidi wa kusema kuwa Shia wapo sawa na Waislam?!
kwakuwa ww umesoma sana Quraan!!!
kisha
aliekusomesha ww Quraan ni nani?!
mpaka wasema kwa kinywa kipana,nimesoma sana Quraan?!
Basi kaa chini na usomeshwe na wenye kujua Bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini usinipe references ambazo unaziamini rather than kuniambia naokoteza vitu? Halafu mbona hunipi jina la mtume wa Shia?
Kuna forums na debates nyingi sana leo hii. Kwani mtu hawezi kusoma Qur'an mwenyewe na akaielewa hadi asubiri kufundishwa na mtu mwingine?