Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
- Thread starter
-
- #41
Haina haja Chief
Mtume wa Allah Sala na Salamu ziwe juu yake,ameiharamisha ndoa hii chafu,kwasababu ya uharibu wake mkubwa na madhara kwa jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
angalia
Mtume wa Allah anasema
إني كنت أذنت في الاستمتاع من النساء وإن الله قد حرم ذلك إلى يوم القيامة
Hakika ya mimi,niliwaruhusu kustarehe na Wanawake(Mut-aa),na Hakika ya Allah ameliharamisha hilo mpaka siku ya Mwisho(Qiyama)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeomba nione palipoharamisha. Na ndugu yangu Safuha kaandika hapo kabla kuwa nikah mut'ah bado inatumika na Mashiah ILA KWAKE YEYE HAIFAI. Ikimaanisha haijakatazwa ila SI LAZIMA kila muislamu aifanye lakini aifanyae SI DHAMBI.
Ni Sura na aya ipi?
Naaam
zote ni ndoa
Moja sahihi
na
Nyengine si sahihi
ila zinaitwa ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Fahamu lugha na matumizi yakeAcha hizo Mkuu; ikiitwa ndoa inabaki kuwa ndoa. Kwani kuna ng'ombe sahihi na asie sahihi? Ama atakuwa ng'ombe au si ng'ombe. Hali kadhalika; ndoa au si ndoa.
Nijuavyo zinaa ni kitendo cha mwanamke na mwanaume kuingiziana tupu zao bila ya kua wamefunga ndoa, nadhani tafsiri hii inaenda kwenye dini zote ingawa imefika mbali zaidi pale unapomtamani mke wa mwenzio basi umezini, ndio maana kwenye amri 10 kuna moja tumeambiwa tusitamani wake za watu.Ukisoma tafsiri nilizopewa za zinaa zinapingana na baadhi ya mambo yaliyoruhusiwa kwenye maandiko. Lengo ni kutaka kuelimika maana si kweli kuwa najua kila kitu. Naweza kusoma kitu nikakielewa vibaya; that's why nauliza.
Kuna ubaya?
Isome tena comment yangu.Wewe unachopinga kitu gani hasa katika maneno yangu?
Mimi nimezungumza kwa mujibu wa hiyo kauli ya imamu al bikhaariy العلم قبل القول وعمل
Sasa wewe ndo uniambie kwamba katika niliyosema yapo ambayo sio sahihi kwa sababu kadhaa na kadhaa sio unaniambia tuu nikae nisome akhy mkarimu.
Tujadiliane kwa uzuri tuu ndugu
Dhambi Chief
Ndoa ya Mut-aa
Imeharamishwa kisheria
Narudia tena
Imeharamishwa
kwasababu ya Uharibifu katka jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna neno hapo mkuu, kwa udhini ya watu wakeAcha hizo Mkuu; mtu akienda Corner Bar akamnunua mwanamke itaitwa mahari?
Nijuavyo zinaa ni kitendo cha mwanamke na mwanaume kuingiziana tupu zao bila ya kua wamefunga ndoa, nadhani tafsiri hii inaenda kwenye dini zote ingawa imefika mbali zaidi pale unapomtamani mke wa mwenzio basi umezini, ndio maana kwenye amri 10 kuna moja tumeambiwa tusitamani wake za watu.
Je kuna tafsiri nyingine zaidi ya hizo ulizopewa?
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Kuna neno hapo mkuu, kwa udhini ya watu wake
Hii itakuwa inahalalisha ukahabaHii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Kwenye uislam kuna dhehebu la Shia na Suni na wengine sifahamu, sasa hawa Shia wana historia yao ndefu mno pia ni mahasimu wa Suni katika aina ya kuabudu, aina ya kimapokeo ya vitabu n.k,Hakuna; ila shida ipo kwenye tafsiri ya ndoa. Kuna ndoa nyingine (nikah mut'ah) ni automatically uzinzi - at least kwenye Ukristo.
Asante sana. Naomba tafsiri ya mtu halali (wa kufanya nae ngono kihalali) na tafsiri ya ndoa kwa mwanaume wa Kiislamu.
Kwenye uislam kuna dhehebu la Shia na Suni na wengine sifahamu, sasa hawa Shia wana historia yao ndefu mno pia ni mahasimu wa Suni katika aina ya kuabudu, aina ya kimapokeo ya vitabu n.k,
Yaani kama kwenye Ukristo wakutane Waroma na Wasabato/Walokole,
Aina hiyo ya ndoa inafanywa na dhehebu la Shia peke yake hakuna dhehebu lingine la kiislam linafanya hivyo kwa hiyo inabidi uwaelewe mashia ni wa aina gani ndio utaweza kuargue na hao wengine ndio maana hapa mnakua hamuelewani, dhehebu la shia linatoka Iran kibongo bongo waswahili wachache sana ni Mashia.
Unaweza pia kumuuliza mr. wikipedia akakupa ufafanuzi murua kuhusu hiyo ndoa ya Mut'ah.
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Ndoa ni mkataba wa kuishi pamoja kati ya mume na mke kwa kufuata utaratibu uliowekwa na jamii. Ndoa ya Kiislamu (Nikah) ni mkataba (Aqd) wa hiari kati ya mume na mke wa kuishi pamoja kwa wema na upendo kufuatana na masharti na taratibu zilizowekwa na sheria ya Kiislamu.