masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa umepagawa mimi nakwambia ata manabii wanajua kutenganisha hili kasema Mungu na hili kasema nabii, anaposema Mungu lazima nabii aonyeshe kuwa hili la Mungu na hili langu , nabii Nathan kaonyesha kwa uwazi lipi la Mungu na lipi lake kwa kuweka wazi MUNGU ASEMA , wewe unaleta habari za popobawawee waukaye unachekeshakwa hiyo Hata popobawa akisema Mungu anasema wewe utaamini Mungu Amesemanimesha ng'amua ndio sababu mnaamini deen za ajabu ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
2 SAMUEL 12:7
";Basi Nathan akamwambia Daudi, wewe ndiwe mtu huyo. Bwana Mungu wa Israel, ASEMA hivi ,Nalikutia mafuta uwe mfalme juu ya Israel , nikakuokoa na mkono wa Sauli";
Mbona hiko wazi maneno ya Mungu yanaoneka na maneno ya Nathan yanaonekana, na utambulisho ni pale " Mungu wa Israel asema hivi"; bahati mbaya watu wanajadili mambo makubwa wewe unaleta viroja vya popobawa