Zinaa katika uislamu....

Write your reply...Mtoa post umeuliza swali jengine na umejiviwa lakini naona unajadili mada nyengine hata haihusiani

"Nimejiviwa" swali gani nililiouliza na nikajibiwa na najadili maada gani nyingine ambayo haihusiani?
 

Naomba uende kwenye link hii (nai-post mara ya NNE leo hii halafu uniambie wasifu wao-kama Waislamu au la na uje kutuambia hapa.

The Four Pillars Of Mut'a
 

Mkuu, mbona matamanio ya kingono zinazidi siku za saumu, na ndio maana tumeruhusiwa kujituliza nyakati za usiku? Halafu namna mmoja ya kusahaulisha njaa ni kufikiria mapenzi! Ndio maana watu masikini huwa wanazaa watoto wengi.

Halafu umeniweka matatani kwenye hii ndoa ya wiki moja. Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza. Masharti na viegezo ya Mutaa ni yapi???? Je, kama binti mwenyewe ameridhia ndoa, walii anahaki ya kumzuia?? Kama ndoa hii ya wiki moja ikiitikia, nani ana majukumu ya kulea mtoto?? Halafu mbona kuna ndoa za kawaida pia zinafunjika baada ya siku mmoja, na binti anaendelea kuishi nyumbani? Lipi ni nzuri - kuzini ovyo au kuolewa kwa muda ili kutuliza matamanio??? Binti mwenyewe kama siku zake zinaenda, si bora apate kuonja tunda la ndoa kihalali?

Hata hivyo, naona ndoa za Mutaa zinaharibu jamii kwa sababu hayana maisha marefu. Ni zaidi kufurahisha kimwili na haina mustakabali. Sijajua bado hukumu ya dini ni nini? Nilisema mwanzoni kabisa elimu yangu ni ndogo, na hapa nitatafuta ushauri kwa wa Ulemaa.
 
Ndoa ya Mut-aa
Imeharamishwa kisheria


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shekhe ni mpuuzi
 
Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).

Yap wewe umenukuu aya au sehemu ya aya, uislamu sheria zake hazijengwi hivyo na Kama ukitaka kwanini mutaa ni haramu, kwanza ujue ilihalalishwa vipi hiyo uliyo quote haijatoa uhalali imesisitiza kutimiza ahadi muliyoweka ya malipo tu. Tafuta ilipohalalishwa na masharti yake. Kama wewe ni Shia hatuwezi kukufahamisha Kiowa sio Shia basi utatuelewa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ndoa ni konki sanaaa
Ingekuwa inajuzu kisheria tungekua tunakula bata tu mwanzo mwisho yaani full kubadilisha ladha tu.

Maendeleo hayana chama
 
Nini nime-avoid kujibu?! Taja swali
ulilouliza ambalo sijajibu lakini kinyume chake, ingawaje mimi ndie wa kwanza kukuuliza kuhusu:
Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
BADO HILO SWALI HUJAJIBU zaidi ya ku-beat around the bush!! Na kama umejibu, taja post # ngapi lakini sio 137 kwa sababu ni IRRELEVANT!!

In short, UMESHINDWA KUJIBU! Na umeshindwa kwa sababu umeanzisha mada iliyokuzidi uwezo wako wa kuchambua mambo! Huijui unayodhani unaijua wala Biblia ambayo ulikuwa wala hujui kwamba hata Ukristo unaunga mkono utumwa na ndio maana nilipokudondoshea nondo za Mtume Paulo, ukafunga mdomo! And I AM SURE uli-Google kuthibitisha kama kweli Biblia, tena Agano Jipya, inaamuru Watumwa wawatii Mabwana wao kwa LOLOTE LILE!!

Narudia, taja post ambayo SIJAKUJIBU na onesha post yako inayohusiana Quran 4:24 with full text containing:
Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).

But all in all, lililo dhahiri ni kwamba ule unafiki wako ushakuwa hadharani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…