Uzinzi unafilisi mali,akili na afya ya mwili nilijuaje?. Yamenikuta ndio maana. Sema papuchi tamu nzi kupigwa kofi na kufa kidondani moja ya utamu wa kidonda π€£π€£Katika kifungu hichi cha bibilia, Mungu ana onya kuhusu uzinzi, kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi kwako kunaweza pelekea kuwa mbali na Mungu.
Si kweli. Mbona mapadri na masista wanazini kwa raha zao na wanaendelea kula sadaka za mazwazwa?Uzinzi unafilisi mali,akili na afya ya mwili nilijuaje?. Yamenikuta ndio maana. Sema papuchi tamu nzi kupigwa kofi na kufa kidondani moja ya utamu wa kidonda π€£π€£
mkuu mchunga kondoo anakula mali ya kondoo wake huu si ugonjwa wa kiroho nao au unaonaje?.Si kweli. Mbona mapadri na masista wanazini kwa raha zao na wanaendelea kula sadaka za mazwazwa?
Huo ni upaulo wa uroho mtakakitu mkuu. Kkkkkmkuu mchunga kondoo anakula mali ya kondoo wake huu si ugonjwa wa kiroho nao au unaonaje?.
Mnajifanya kutuhubiria tuache starehe zetu muhimu hapa duniani huku wenyewe mkizifanya kimya kimya. Nyinyi ni viumbe wanafiki sana.Hosea 4:11
Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.
Katika kifungu hichi cha bibilia, Mungu ana onya kuhusu uzinzi, kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi kwako kunaweza pelekea kuwa mbali na Mungu.
Uzinzi au ngono inakufanya kuwa mbali na Mungu hii inapelekea kukosa ufahamu na hekima kutoka kwa Mungu.
Samson alipoteza uwezo wake na ufahamu kwa kutoa siri za nguvu zake sababu ya uzinzi, Samson alitoa siri za nguvu zake kwa delila na kupelekea wafilisti kumkamata.
Samson alishiriki kufanya uzinzi na mtu ambaye sio chaguo la Mungu
Na kupelekea kupoteza ufahamu na kutoa siri zake kwa maadui zake na mwisho kutolewa macho na kufariki pamoja na wafilisti walio kuwa wakishangilia akiwa kafungwa minyororo.
Katika maisha unapo shiriki tendo la ndoa au ngono na mtu ambaye sio sahihi au chaguo la Mungu inaweza kupelekea kushusha nguvu zako za kiroho kama samson
Ngono au uzinzi pia ni tendo la kiroho, hivyo unaposhiriki na mtu ambaye sio sahihi anaweza shusha nguvu zako(energy) au nyota yako na kupelekea mambo yako kuharibika kama kifedha, biashara n.k
Ngono au uzinzi pia unaweza sababisha kubadilishana trauma, hisia, mambo ya kiroho, hivyo kama mtu anachangamoto ya hisia zake anaweza kukupa na wewe na kupelekea kukosa utulivu wa akili na amani ya moyo wako.
Ngono au uzinzi pia unaweza kusababisha magonjwa, watoto usio tarajia kwenye maisha yako hivyo ni muhimu kuepuka na ngono au uzinzi ili kuendelea kuwa karibu na Mungu, hii itakusaidia kufanikiwa katika maisha yako.
Unapoona umekosea na kuingia kwenye ngono na mtu ambaye sio sahihi omba kwa Mungu akusamehe na Mungu ni wa rehema atakusamehe,
Samson alifanya makosa haya lakini Mungu pia alimsamehe na kumurejeshea nguvu zake,
Pia mfalme daudi baada ya kufanya makosa ya uzinzi na mke wa jirani yake Mungu pia alimsamehe na kuendeleza ufalme ndani ya nyumba yake.
Kuna msemo unasema Wajinga ndio waliwao.So ukiacha kuzini unakuwa tajiri?
πππππ
Kabisa haya mambo ya kupiga miti nina uzoefu nayo sana.....Huleta mikosi sana katika kupata riziki,,,mifano ninayo mingi sana ,,,,,,,,sijui nitoe ipi na niache ipi,,,,,,,,itoshe kusema mambo ya kutiana ni mikosi sana...Hosea 4:11
Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.
Katika kifungu hichi cha bibilia, Mungu ana onya kuhusu uzinzi, kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi kwako kunaweza pelekea kuwa mbali na Mungu.
Uzinzi au ngono inakufanya kuwa mbali na Mungu hii inapelekea kukosa ufahamu na hekima kutoka kwa Mungu.
Samson alipoteza uwezo wake na ufahamu kwa kutoa siri za nguvu zake sababu ya uzinzi, Samson alitoa siri za nguvu zake kwa delila na kupelekea wafilisti kumkamata.
Samson alishiriki kufanya uzinzi na mtu ambaye sio chaguo la Mungu
Na kupelekea kupoteza ufahamu na kutoa siri zake kwa maadui zake na mwisho kutolewa macho na kufariki pamoja na wafilisti walio kuwa wakishangilia akiwa kafungwa minyororo.
Katika maisha unapo shiriki tendo la ndoa au ngono na mtu ambaye sio sahihi au chaguo la Mungu inaweza kupelekea kushusha nguvu zako za kiroho kama samson
Ngono au uzinzi pia ni tendo la kiroho, hivyo unaposhiriki na mtu ambaye sio sahihi anaweza shusha nguvu zako(energy) au nyota yako na kupelekea mambo yako kuharibika kama kifedha, biashara n.k
Ngono au uzinzi pia unaweza sababisha kubadilishana trauma, hisia, mambo ya kiroho, hivyo kama mtu anachangamoto ya hisia zake anaweza kukupa na wewe na kupelekea kukosa utulivu wa akili na amani ya moyo wako.
Ngono au uzinzi pia unaweza kusababisha magonjwa, watoto usio tarajia kwenye maisha yako hivyo ni muhimu kuepuka na ngono au uzinzi ili kuendelea kuwa karibu na Mungu, hii itakusaidia kufanikiwa katika maisha yako.
Unapoona umekosea na kuingia kwenye ngono na mtu ambaye sio sahihi omba kwa Mungu akusamehe na Mungu ni wa rehema atakusamehe,
Samson alifanya makosa haya lakini Mungu pia alimsamehe na kumurejeshea nguvu zake,
Pia mfalme daudi baada ya kufanya makosa ya uzinzi na mke wa jirani yake Mungu pia alimsamehe na kuendeleza ufalme ndani ya nyumba yake.
Bora uache upate wet dreams then uambiwe una jini mahabaVipi kuhusu puchu?
Wenzio tukisha tomba kuna namna hujitakasa....ni Elimu tuliyopata jandoni,Uzinzi unafilisi mali,akili na afya ya mwili nilijuaje?. Yamenikuta ndio maana. Sema papuchi tamu nzi kupigwa kofi na kufa kidondani moja ya utamu wa kidonda π€£π€£
Endelea kumtegemea Mungu na angalia maisha yako ni wapi unakosea , mafanikio ni jambo la kiroho muulize Mungu atakusaidia majibu ya hiyo hali unayopitia, na je vipi kuhusu imani ya hicho unachokifanya, imani pia inachangia kufanikiwa au kukwamaNina miaka karibu miliwli sasa sijashiriki ngono na mke wangu, lakini pia hio kuzini sina kumbukumbu vizuri ilikuwa lini.
Lakini sina hata mia asubuhii, japo nafanya sana kazi , si mtumiaji wa kilevi wala starehe , kila ninacho kipata kinaelekea moja kwa moja kwenye majuku .
Kulingana na muktadha wa mada hii kwamba zinaa inaua kibali .
Mbona mimi binafsi na pengine wengi wetu hatuko kwenye huo uzinzi ila tunapata matokeo yanayo lingana na wanao zini?
Tupo kwenye the same boat mkuu,Nina miaka karibu miliwli sasa sijashiriki ngono na mke wangu, lakini pia hio kuzini sina kumbukumbu vizuri ilikuwa lini.