Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Kumbe..... mi nilidhani ni coincidence tuTangu Mwananchi watoe habari za namna hiyo nilijua kuwa kuna Waandishi wanatumiwa na wagombea urais wa CCM kuleta minyukano CDM ili kupunguza nguvu ya CDM. Naamini habari hizo zitaandikwa tena kutoka gazeti moja hadi nyingine.
Gazeti tuliloliamini sasa limekuwa pandikizi na lenye kufuata maslai ya watu wenye dola.
Majira badilikeni, mmekuwa ovyo sasa.
Natunza orodha ya wahujumu mabadiliko na majira mpo hivi ippmedia kodi mnalipaje vile .... Hukumu inakujaMkuu gazeti hili lilinunuliwa tangu kwenye uchaguzi wa Igunga.wenye akili zetu tulianza kulitilia shaka tangu wakati huo.
Asante mkuu umemaliza kila kitu.
Lisemwalo lipo na kama halipo laja.
Kuweni na subra tu mtaona mengi
Ni kawaida yenu wanachadema kutokwa na mapovu mdomoni hata kwa ishu ndogo tu. Mbona gazeti lenu la tanzania daima hamlitupii macho?
Mkuu Molemo hili nalo gazeti la kusoma? Mara ya mwisho nililinua miaka 4 iliyopita nilipoambiwa jina langu lipo humo ili kujiunga na Chuo kikuu
Mkuu Molemo,nakuunga mkono kwa asilimia mia.Nimepata mshtuko mkubwa baada ya kusoma upuuzi wa gazeti la majira.Walishindwa tu kuungana na Chadema katika kipindi hiki kigumu? Nakubaliana na Molemo wanaChadema wote kususia gazeti hili la Majira.