Nyundo Kavu
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 186
- 85
Lisemwalo lipo na kama halipo laja.
Kuweni na subra tu mtaona mengi
maalim seif anagombea urais znz? Na profesa vipi atagombea?
Lisemwalo lipo na kama halipo laja.
Kuweni na subra tu mtaona mengi
Tangu Mwananchi watoe habari za namna hiyo nilijua kuwa kuna Waandishi wanatumiwa na wagombea urais wa CCM kuleta minyukano CDM ili kupunguza nguvu ya CDM. Naamini habari hizo zitaandikwa tena kutoka gazeti moja hadi nyingine.
wawaige mtanzania na rai,baada ya kuona hawauzi wamerudi upande wa umma,majira watapotea soon.r.i.p regia.
Roho mbaya inawasumbua hili gazeti na kwa mara ya kwanza nimpongeze Zitto kwa kuthibitisha kua hatogombea Urais 2015 bali atamuunga mkono mgombea wa CDM
"Mbowe for Presidency 2015 usikubali Rais aliyewahi kuwa Padre na katibu wa TEC""
Hii signature yako unamaanisha nini?Dr Slaa anawanyima usingizi eeh?Hamuwezi kuwagombanisha Mbowe na Dr Slaa hata mfanyaje!halafu kwa taarifa yenu wanajua mipango yenu yote .....