This loser must go first hana credibility yeyote ni zero kabisa hatakiwi kusikilizwa ,all this years more than half ya wananchi wake wamekuwa refugees kutokana na policies zake za kipuuzi, the fact is he was for himself na hajasaidia Zimbabwe zaidi ya kuifanya kuwa worse kuliko most of the third World, utemi,ubishi na misifa ya kijinga kama viongozi miungu mtu ya Africa na huyu ni mfano halisi..he must go now.