Duh mbona ukali mkuu?! Si ilikuwa ishu tu ya kuelekezana kiupole.Acha uongo we mtu hiyo ajali haijatokea leo ni ya jana,kweli dereva ni mtanzania nyumbani kwake ni iringa sehemu inaitwa mlandege na msiba upo pale..
Marehemu anaitwa juma mbega
Acha uongo we mtu hiyo ajali haijatokea leo ni ya jana,kweli dereva ni mtanzania nyumbani kwake ni iringa sehemu inaitwa mlandege na msiba upo pale..
Marehemu anaitwa juma mbega
Achana naye.Kuna mahali ambapo alitaja siku ajali ilipotokea? Soma habari kabla.hujaitolea maoni.
Mbona mengi tu,
HAYA MABASIIIII YAMECHOKA.NDUGU HATA HIZO AJALI N MIPANGO YA MUNGU YARYAREKEBISHWE N HATARE SANA WANA UNDUGU NA SP...ZILIZOKUWA UGANDA MVUA IKINYESHA NYIE NDIE MWAMVULIBasi la Taqwa limepata ajali eneo la Marongora baada ya Chirundu boader kwa upande wa Zimbabwe. Dereva ambaye ni Mtanzania kapoteza maisha hapo hapo.
Ilikuwa ikitokea Zimbabwe kuja Dar.
View attachment 1050182View attachment 1050183
UNAMCHANGOO WA KUTOAAA AMA UNATAKA UKAUZE GAZETI
ndio mkuu! yapo pia dar johanesburg
Kuna mahali ambapo alitaja siku ajali ilipotokea? Soma habari kabla.hujaitolea maoni.
Duh mbona ukali mkuu?! Si ilikuwa ishu tu ya kuelekezana kiupole.