Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,283
- 61,254
Hata hapa kwetu naona tutaanza tumia dollar siku si nyingi maana kwa inavyopands
Hata hapa kwetu naona tutaanza tumia dollar siku si nyingi maana kwa inavyopands
Hiyo ni zamani.
Siku hizi hawana kabisa hela yao. Wanatumia dola ya Marekani na Rand ya Afrika ya Kusini. Asante king'ang'anizi Mugabe.
Mkuu mbona hapa tayari tumesha anza kutumea dola na hiyo dola kwenye pango za nyumba na kodi za maduka na magodauni ni hisabu ya dola tu na siyo hii ya madafu
Umeona maana kila kukicha inazidi kushuka thamani hali ni tete
Rand na dollar ndo pesa inayotumika Zimbabwe siku hizi
hiki kibabu kweli ni janga kwa Zimbabwe!,kuna wapuuzi wanakasifia/
Kwa kutetea Africa hajambo ila nchi imemshinda kabisa
Kazi kwelikweli.
Ukipata mchumba huklo inakuaje wakuu?