Zimamoto update

Zimamoto update

calyx

Member
Joined
May 3, 2014
Posts
38
Reaction score
8
Fununu nilizozipata kwa wale walioitwa kwenye ajira nafasi ya assistant inspector wa zimamoto, kuwa baadhi hawataweza kuudhuria depo kutokana kuwa wajawazito.

Kwa matokeo aya wanaweza kuita tena. Ngoja tusubiri
 
Madem wawili tu mbona kwa hiyo wote ni waja dah.
Kwa hiyo nafac ni mbili 2.
 
acheni uongo!! medical examination form bado hata hazijarudishwa
 
Back
Top Bottom