Zima moto

Zima moto

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Sisi tuliita Msuli pepa/zima moto. Nyie hii mliitaje?
 

Attachments

  • zima moto.jpg
    zima moto.jpg
    11 KB · Views: 820
Sisi tuliita Msuli pepa/zima moto. Nyie hii mliitaje?

Si tuliita msuli maonyesho....maana huwezi kusoma na kuelewa madesa yote hayo kwa wakat mmoja, ila unajionyesha akipita baba/mama/rafiki anakuona unasongoka kinoma yani.
 
Si tuliita msuli maonyesho....maana huwezi kusoma na kuelewa madesa yote hayo kwa wakat mmoja, ila unajionyesha akipita baba/mama/rafiki anakuona unasongoka kinoma yani.

For sure, hasa kuna wengine wanaogundua kuwa hapo ni kupoteza mda, wana dedicate time yao kudizain vibomu na mbinu zs kupigia chabo
 
Halafu vyote anakula matango mwitu tuu hamna moja litatoka.
 
Halafu vyote anakula matango mwitu tuu hamna moja litatoka.

kuna mshkaji alikuwa ana mazari noma, akikuomba umuelekze kitu before kuzama kwenye most of the time unakikuta
 
Hahahaaaa! hao ndio wasomi wetu. Katika performance hamna kitu! Labda ubunge ndio wako fiti zaidi.
 
Back
Top Bottom