Prophet
JF-Expert Member
- Aug 31, 2010
- 274
- 127
Hakuna shaka kuwa nyimbo nyingi za miaka ya 70 mpaka 80 mwishoni zinaradha ya kipekee na kusisumua kwa hali ya juu. Hii ni kutokana na ustadi mkubwa wa wanamuziki wetu wa kipindi kile.
Hiki ni kipindi muziki wa kikazi kipya upo vizuri sana na walau unaonekana kupasua anga la nje ya Tanzania. Naamini hata hii midundo ya kinaija (Naijeria) Imetokea kwenye muziki wetu tulioudharau kipindi kina Mr. Nice na kina Bob haina wakipata heshima kubwa sana nje ya nchi yetu zaidi ya tuliyowapa.
Mnakumbuka kipindi ambacho kina 2face idibia na P square wanakuja kutumbuliwa kwa Mara ya kwanza walikuwa wanapita midundo gani? Walikuwa wakiwastaajabia hawa wanamuziki wetu walikuwa wanasakata TAKEU. Hawakuondoka, bure baada yamatamasha yale, wamekuja na kitu kile kile wakina kikuku, Mez B R.I.P, na kuku kapanda baiskeli walichokuwa wakifanya
Tuachane na hayo, kuna nyimbo kadhaa za bongo flava zilizorudia nyimbo za zilipendwa na kwa kweli zimetendewa haki kwa kiasi kikubwa. Moja ya nyimbo hizo ni Zuwena-Mr Paul, Milima ya kwetu-ruby nakadharika.
Naomba mnipatie list ya nyimbo zingine zulizowakuna tafadhari