Zile nafasi security officer Tanesco

Zile nafasi security officer Tanesco

Syosaamenye

Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
79
Reaction score
7
Wadau eti zile nafasi za security officer Tanesco Power Plant Ubungo zilizotangazwa December wametoa kwenye gazeti gani? mwenye shortlisted naomba aweke majina ya walioitwa kuna baadhi ya watu wameanza kupigiwa simu.
 
Mkuu december tena mbona security officers kwa nafasi 5 zimetoka mwaka huu huu
 
Na watu wakaitwa katika apptitude Ubungo
 
Walipigiwa tarehe 1 mwez uliopita man mie lkn nilitoswaa
 
Na zile za research engineers vp wadau.

Kuna alieitwa tayari, mwenye kujua atujuze.

Nina taarifa za watu wa substation, grid control na project engineers.
 
Na zile za research engineers vp wadau.

Kuna alieitwa tayari, mwenye kujua atujuze.

Nina taarifa za watu wa substation, grid control na project engineers.

Hawa jamaa kazi zao huwa wanaziweka kwenye website gani mkuu unaweza kuweka link hapa??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kiwango security wametangaza kazi za ulinzi 40 so usikariri tanesco tu! Jaribu huko
 
Back
Top Bottom