Zile line za <zain> zileee bado unayo au ulitupa?!!

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
771
Reaction score
349
owk kama unakumbuka na bado unayo ile line ya zain tuliuziwa na wadau..zikaja zikakata...zikakubali zikakata tena sasa zimepata trick....yaah a new trick,
Ok bila longo longo wala setting za ajabu ajabu...chomeka ile line kwenye modem yako, download na kuinstall wi-free connect itakubali kwa demo kwa ku access site yao. kama imekubali then lipia hukohu ko kwenye site yako kwa dora 7 tu. na njia za kulipa ni nyingi. inafanya kazi kama PD PROXY na tunnel guru. inauwezo wa ku search free port yenyewe...
bado nipo majatribion kwa voda inaconnect kwa DNS ila spidi ya kobe..nimeleta hapa wataalam muongeze maujanja na mawazo. enjoy while you can
Tigo haiconnect kabisaaaaaaaa
<NAJUA WATAFUNGA TUTAFUNGUA NA WATAFUNGA TENA NA TUTAFUNGUA TENA LABDA WAFUNGE MTANDAO WA JAMII FORUMS HATUISHI MAUJANJA>
ww.wi-free.com/

CHEERSSS!!!
 
unasubiri nini...download na connect utapata jibu. then lipia elfu 11 tu.....safii unalipa kwa dola
 
Wi Free DNS ni majanga kwa basi mdebwedo

Anyws ujanja mjini hauishi nimekuja na stile mpya zamu japo iko expensive kwa Heavy users lkn kwa light users basi utapata 5GB kwa 10,000/-
For more info one can PM
Ntaweka picha baadae no program needed and hamna kubuma ni halali
 
5 gb kwa mwezi kwa wiki ama??
 
5 gb kwa mwezi kwa wiki ama??

Ni ya mwezi hii emu soma message nilizo attach hapo chini
Hii ni Super ila kama nilivyosema hii nimepiga dili na watu wa TIGO,VODA na AIRTEL tu kuna ki trick nafanya wamenipa ila na wao wanapata kidogo

Soon huenda najipanga ntaanza kuuza line kama alizozisema Sharobaro ila hizi zinakuja na Unlimited lkn dau yake kubwa maana ma AUDITORS wa basi fulani inabidi wapewe chochote kuizibia macho hii
 
Attachments

  • 1393023571644.jpg
    1393023571644.jpg
    46.1 KB · Views: 286
Ni ya mwezi hii emu soma message nilizo attach hapo chini
Hii ni Super ila kama nilivyosema hii nimepiga dili na watu wa TIGO,VODA na AIRTEL tu kuna ki trick nafanya wamenipa ila na wao wanapata kidogo

Soon huenda najipanga ntaanza kuuza line kama alizozisema Sharobaro ila hizi zinakuja na Unlimited lkn dau yake kubwa maana ma AUDITORS wa basi fulani inabidi wapewe chochote kuizibia macho hii
tatizo 5g laini yake ikishatumika hutoweza tumia tena. unalazimika kila mwezi ununue laini mpya ya simu ili upate hizo 5gb.
 
unaongelea ipi wewe?
mm siongelei ya alkaleef na modem zake hapa naongelea trick moja aliwai leta e2themiza hapa juwaa lkn code zake zilibadilishwa baada ya siku
rejea nyuzi zake kuelewa trick nzima
 
Ni ya mwezi hii emu soma message nilizo attach hapo chini
Hii ni Super ila kama nilivyosema hii nimepiga dili na watu wa TIGO,VODA na AIRTEL tu kuna ki trick nafanya wamenipa ila na wao wanapata kidogo

Soon huenda najipanga ntaanza kuuza line kama alizozisema Sharobaro ila hizi zinakuja na Unlimited lkn dau yake kubwa maana ma AUDITORS wa basi fulani inabidi wapewe chochote kuizibia macho hii

gb 5 kwa mwezi sio ishu maana hapo roughly kila siku ni mb kama 170 hivi..
Labda hizo za unlimited kidogo mwake.dau sio tatizo ishu ni kuwa tu na unlimited internet with high speed
 
Ndo maana nikasema wale light users itawafaa....
Tena sana sana watu wa Android Tabs wanaitumia tu bila shida hamna speed capping kwa hii maana ni 5GB zako tu...
Unlimited kama tulizozizoea tutasubiri sana mpaka kampuni iliyoajiriwa sasa ya maIT imalize mkataba wao
 
hapa nimemaliza kushusha 5gig na kabang yangu ya mwezi bundle za halali zipo nzuri tu. kwa 11 elf unapata 4gig za faster na unlimited ya 100 mpaka 150KBps tena sometime wanajisahau hadi siku 3 unashusha tu kwa unlimited speed.

karibun kabang ya tigo rusha
 
Chief unatumia line ipi? Ile ya Joti au ya Mzee Small?
 
kaka njunwa wamavoko nahitaji hii ya mwezi kama bei ni poa na haikatikati maana mii ni heavy downloader.... mpaka Gb 232 per month..Gb 5 kwangu ts nothing plz n pm tuyazungumze,nipo mwanza kaka, maana kuanzia mabasi yale mzinga sina raha na basi jipya mwanza halifai.....
 
nilichogundua na ku hakikisha ni kwamba...ukinunua line ya post paid na kuconnect kwa VPN through TCP inaconnect ila speed ya kobe idm haizidi 40 kb japo sometime inafika 50kb so hamna rahaa kivile ila kama unayo line na unataka kubrowse tu jamii forums try it wi free naipenda inavyotest speed. sijui kwa nini hawa zainabu hawafunguki hadi mwisho kwa speed. any way I keep on trying na ushauri wenu ni muhimu
 
Back
Top Bottom