Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

Kazi ya akina Mahela ni kuwahoji wale vijana wa bodaboda na wahuni wasio na kazi
 
Toka kampeni zimeanza ITV imekuwa ina report bila upendeleo, vituo kama TBC na Star TV ni hovyo kabisa
Hongereni sana ITV
 
Well said, StarTV walimleta mpaka mtu anayejiita Kinje
 
Wivu tu
 

Nakushauri u cheki malaria...msimu mbaya huu....
(iwahi kabla haijakupanda kichwani)
 
 
Nikitaka mbwembwe na matukio naenda Itv, nikitaka habari na Data ni Azam two.

Yule Mzee Masako ndio kabisa hafichi mahaba yake kwa Ukawa.
 
We mleta topic ni mjinga mkubwa. Hivi inavyofanya TBC na STAR TV ni vema? ITV wanakosa gani hasa? Kwani vurugu hazistaili kuonekana? Think twice
 
Nahisi hata ww una Mapungufu kidogo ungeanza TBC kwanza.Hata hivyo mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…