Wadau huko Mtwara kwenye gesi kuna makampuni kibao yameenda kuchimba gesi na mafuta ila ukiacha zile za tpdc mbona sijawahi kuona nafasi za kazi za hayo makampuni huko Mtwara
Mafundi umeme na machanical watoke nje?,mbona wataalam wa fani kama hizi wamejaa tu hapa nchini?Una utaalamu wowote kwenye hiyo industry? Ninachojua ni kwamba makampuni mengi yanayodaka tenda huko ni Internationl companies. Na most likely wanakuwa na wataalamu wao kutoka nchi mbalimbali. So kama hatuna expertise katika hiyo sector then tutasubiri sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Una utaalamu wowote kwenye hiyo industry? Ninachojua ni kwamba makampuni mengi yanayodaka tenda huko ni Internationl companies. Na most likely wanakuwa na wataalamu wao kutoka nchi mbalimbali. So kama hatuna expertise katika hiyo sector then tutasubiri sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Hayo makampuni ya nje ni ya binafsi, so sio lazima watangaze ajira kwenye vyombo vya habari. Unaweza ukaenda na vyeti vyako wao wakaangalia kama wanakuhitaji, na ajira ukapata kimya kimya tu!