Zika.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,691
2,000
Duh ebwana eeh huyo ni Twiga au nguruwe mbona linene Sana.. Ndo ugonjwa WA zika unasababisha unakuwa HiVyO
 
Ranks

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,592
2,000
Duh ebwana eeh huyo ni Twiga au nguruwe mbona linene Sana.. Ndo ugonjwa WA zika unasababisha unakuwa HiVyO
Ni Twiga nembo ya taifa ndugu ndege JOHN.,Hata Taifa nalo limekuwa linene kwani sasa linajadiliwa dunia nzima.
"ZIKA NOMA".
images-1782.jpeg
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,691
2,000
Dah asee ranks Nimekuelewa.. Nili sahau kama Twiga huwa ni nembo ya taifa. Tuombe MUNGU Tunapoenda yasitokee mabaya zaid.. Kuna kitu nyuma ya pazia.. Tumaini hakuna. Tunazidi kudroop kila sehemu
 
Yaani ni mwendo huu .........
images-250.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Thread starter Similar threads Forum Replies Date
waltham Zika haipendi ujinga!!!!! Jamii Photos 1
Red Scorpion Zika Virus Jamii Photos 1

Similar threads

Top Bottom