Zika mwenyewe mwanao

Zika mwenyewe mwanao

Azike tuuu, huwa nawaambia watu, Ukijifanya kujua ukamchukia mzazi wako mmoja au wote, hautobaki salama maisha yako yote mpaka kaburini, hata uumche Mungu vipi, tena ikiwa kama ulimuuzi mzazi mpaka anaingia kaburini jua ya kuwa ww ndiyo basi tena.
 
Mwana mpotevu,.. ila ungemuacha atafute nauli mwenyewe hapo ndo utajua kama kweli amejuta na atajirekebisha.
 
Azike tu tena mama yake amejitahd kumjibu angekuwa mwingine angekaa kimya usipofunzwa na mama utafunzwa na ulimwengu AZIKE tu
 
Dada huyu usihangaike nae hata kumtumia nauli, muache Mwalimu Mkuu Dunia akisaidiwa na Muda vitamfunza vyema bila kubakisha kitu katika darasa lake.
 
Mama ametoa jibu la busara Sana, acha tu binti ajifunze with time atagundua kosa na atarudi kwa magoti yake mwenyewe
 
mwambie akirudi chonde chonde asikuchukulie mme wako!
 
Ila jamani vibinti vya miaka 15-25 vinakuwa vijeuri hatari!!
 
Back
Top Bottom