Marekani ina jumla ya Military Bases (Camp) katika nchi 150 Duniani lote. Imesambaza wanajeshi duniani kote katika camp hizo bila kusahau Silaha na Majasusi. US wameizunguka dunia kona zote.
Zifuatazo ni US Military Bases ambazo zina wanajeshi zaidi ya Laki moja;
1. Afghanistan
2. Japan
3. Bahamas
4. Bahrain
5. Cuba
6. Djibouti
7. Ugiriki
8. Italy
9. Kuwait
10. South Korea
11. Spain
12. Germany
13. Denmark
14. Turkey
15. United Kingdom
Zifuatazo ni US Military Bases Zenye Wanajeshi kati ya Elfu 10 na na Elfu 50;
1. Thailand
2. Singapore
3. Somalia
4. Canada
5. Qatar
6. Hawaii
7. El Salvador
8. Australia
7. Iraq
8. Jordan
9. UAE
10. Saudi Arabia
11. Puerto Rico
12. Honduras
Military Bases zingine zilizobakia 123 zipo katika nchi tofauti na mabara yote na zina wanajeshi chini ya elfu 10. Lakini haipungui wanajeshi Elfu Moja.
Source:Wikipedia
secretservice.gov
defenseone.com
marines.com
cnn.com
militarydefence.com