Zijue Sifa za wife Material unayemhitaji......

Zijue Sifa za wife Material unayemhitaji......

Wife material ni yule anayejuwa na kutambua kuwa heshima haijengwi kwa aina ya gari unayoendesha au kazi unaoifanya bali kwa utu ulionao kwa kuwa vyote hivyo vinatafutwa na kupatikana na mungu akikujalia vipo tu.

Very true mkuu.
 
So a part from wife material kuna girlfriend material na bitch material
 
Hii sera ya wife material imekuwa dili kwa vijana eeeh...!! Tulizoea kusikia kule shule haya mambo ya material material now day imehamia kwa akina dada mbhe!!
 
Asiye mlevi mbwa
Asiye vuta sigara
Anayejiheshimu na kuheshimu wengine
 
Umesema tuongezee wife material shariti awe na miguu minne na mikono mi3 bila kusahau kiungo muhimu awe na papuchi mbili....
HAPO ATAKUWA FULL WIFE MATERIAL.
 
Wife material ni yule ambae nikiwa nae anamsifia sana bos wangu,au wake,
Ni yule jion ananiuliza umeingiza shiling ngap
 
.....wife material sio kukaa na kusema siri za ndani kwa marafiki zake.
........wife mtrl ni kumlinda na kumtetea mumewe kwa makosa yasiyo ya kukusudia.
......wife mtrl kuwa mshauri Bora na wakwanza kwa mumewe kwa maswala ya mendeleo ya familia na ya kijamii.
......mengine endeleeni Jamani.
 
Back
Top Bottom