Aboo Treka
Member
- Feb 11, 2014
- 10
- 0
wife material anawashaga tv tu wageni wakija
7.......Wife material DOESNT take bullshit about anything, sio kwa kuwa umemuahidi kumuoa ndo akupakulie vyoooooote
8......Wife material is NOT CHEAP, ukichemka anakupa options hakung'ang'anii for no reasons
9.......Wife material hatishwi na ahadi yako ya ndoa, ukicheat anasepa.
Tutalima lami mwaka huu ili tuwe wife material
Jembe??? mjini?? u must be kidding meeen!!
Mkuu siku zote tafsiri ya jembe kwenye mahusiano siyo kulima ina maana kubwa mno..Maana yake upo tayari kuvumilia katika hali yoyote itakayojitokeza ndani ya mahusiano yenu..Mfano mtu alikuwa na kazi na kwa bahati akapatwa na tatizo je utakuwa tayari kuungana naye katika hali hiyo ya mabadiliko ya kipato????Au je mlikuwa mnakula nyama kila siku na na hali ya kifedha ikabadilirika basi uwe tayari kudance siyo kuendelea na life style ile ileKwahiyo ambao hawajawahi kulima siyo wife material?
Wife material anakuwa na umbo la wastani sio kunenepeana kama pipa la taka,
wife material anajua kuikatikia na kushughulika kwenye kitanda sio kukaa tu utafikiri anabakwa au kaolewa kwa bahati mbaya...
..labda kijembe!
Wife material anajitambua na kujiheshimu na kukuheshimu.