1: Wataweza kukopesheka bank sababu biashara yao itakuwa ya uhakika.
2: Wataweza kuongeza kipato zaidi ya Sasa.
3: Wataepuka hasara zitokanazo na dagaa kuoza, kuliwa na ndege na wadudu wengine.
4: Dagaa watakuwa na ubora wa Hali ya juu na kuwawezesha wavuvi kuuza dagaa wao ata soko la ulaya.
5: Dagaa hawatakuwa na mchanga Wala uchafu wa Aina yoyote.
6: Mvuvi hatotegemea jua ili kukausha dagaa wake.
7: Serikari itaongeza mapato kutoka kwenye sector ya uvuvi.
8: Wavuvi Wataweza kujipangia Bei na sio wanunuzi kutoka nje kujipangia Bei wao. nk
View attachment 1330835View attachment 1330836View attachment 1330837View attachment 1330838
Sent using
Jamii Forums mobile app