Kumbe ulishavimbishwa Smiles?
Hongera sana mjukuu wangu...
Naamini sasa wewe ni mtu tofauti kabisa na hizi toto za mtaani...
Unajua mbichi na mbivu kwa kweli.
Karibu sana kwenye club ya kulea (investment ambayo ni ngumu kujua lini italipa)!!
Babu DC!!
Kaizer hujambo....?Ukiona ivo ujue kumekucha tayari
RR niyo natakiwa ku-note for action later au....?Smiles RR anakupendaga? bila masharti....
@Smiles RR anakupendaga? bila masharti....
karibu sana kwenye chama chetu mkuu
Hivi katibu anaruhusiwa kumpenda mjumbe...............
heee! kumbe hichi ni chama nilikuwa sijui mie
nilidhani ni college ya infedelity kumbe........
basi nii bad :A S new::A S new::A S new:
Mwone katibu akusajili...
Kaizerkatibu ndo nani vile nipe jinale?
hivi hiki chama mlishafanya tena uchaguzi rafiki?Rafiki Fixed Point naona umeniita, kuna nini hapa?
hivi hiki chama mlishafanya tena uchaguzi rafiki?
mimi siyo mwanachama but nataka kuwa kwenye tume ya uchaguzi, ili iwe huru
hivi hiki chama mlishafanya tena uchaguzi rafiki?
mimi siyo mwanachama but nataka kuwa kwenye tume ya uchaguzi, ili iwe huru
hofu kwako RR....Waitwa kada wa chama nje ya chama.....
Hujambo fp
ha haaa, au uongozi huko ni permanent?unataka kuwa kada wa chama Fixed Point? Mbona uchaguzi wetu ni huru na wa haki tu, domokrasia la ulaya hatulitaki sisi