Zijue sababu za Zanzibar kuwa ya Mwisho matokeo ya kidato cha nne

Ukiacha makanisa yaliyokuwepo toka zamani (enzi za sultan na watawala wakuu waingereza), ni vigumu kujenga Kanisa jipya Zanzibar au kufungua Misheni


kwani Tanganyika hakuna nafasi ya kujenga ????

quote-when-the-missionaries-arrived-the-africans-had-the-land-and-the-missionaries-had-the-bible-they-jomo-kenyatta-243272.jpg
 
Mi nadhani ni kwa upande mwingine suala dini ( uislamu) nao umechangia sana.
Why
1. Wazazi wanatoa kipao mbele sana kwa watoto kwenye elimu ya dini ( Madrasa/chuo) kuliko elimu dunia.
2. Asili ya wazanzibar wengi ni uvivu na huwa hawana juhudi kwenye kutimiza jambo flani ( hawapendi ugumu wa mambo)
3. Low average pass Marks.
 
Mi nadhani ni kwa upande mwingine suala dini ( uislamu) nao umechangia sana.
Why
1. Wazazi wanatoa kipao mbele sana kwa watoto kwenye elimu ya dini ( Madrasa/chuo) kuliko elimu dunia.
2. Asili ya wazanzibar wengi ni uvivu na huwa hawana juhudi kwenye kutimiza jambo flani ( hawapendi ugumu wa mambo)
3. Low average pass Marks.
Ni kweli hayo yote yamesukwa na wavamizi.Hilo ndilo lengo la muungano na Kanisa Katoliki
 
Direct to the topic

Swala la Elimu Zanzibar lipo chini sana na hili limechangiwa na mambo mengi lakini kubwa kuliko yote ni SIASA. Siasa zilizopo Zanzibar sio nzuri kwa mustakabali wa maendeleo ya wazanzibar, ni siasa za chuki, ubinafsi, ubaguzi na kukomoana na hii imeathiri sana Elimu ya Zanzibar.

Pili:, Watoto wengi wa kizanzibar wenye uwezo wa kifedha hutegemea sana kununua mtihani. Hawasomi kwa bidii wakitegemea kununua mtihani na hili naomba wahusika walitizame kwa macho wawili HAIWEZEKANI mtoto wa mnyonge asome kwa bidii halafu mtoto wa tajiri aje anunue tu mtihani na kufahuru. Wahusika fanyeni uchunguzi

Tatu:, Udhaifu mkubwa wa baraza la mitihani Zanzibar, baraza hili limekosa watu wabunifu, waelevu na wenye weledi na kazi. Udhaifu wake ni pamoja na kuchukua Muda mrefu sana kupanga matokeo ya darasa la sita na kidato cha pili. Matokeo ya kidato cha pili mwaka 2017 yametoka tarehe 30/01/2018 yaani matokeo ya kidato cha pili wameyatoa asubuhi mida ya nne au tano na ya kidato cha nne yametoka kwenye saa sita au saba on the same day. Pia viwango vya ufaulu Zanzibar vipi chini sana.

Nne:, Pass marks kidato cha pili ni wastani wa 15. Yaani mtoto apate 15 tu ya 100 masomo yote asomayo basi anaingia kidato cha tatu ambapo hiyo 15 ni F yaani failure halafu mtegemee maajabu kidato cha nne, ni vituko...!!!

Tano:, Wazanzibar ni watu wavivu sijapata ona, Walimu wa kizanzibar sio competent lakini pia wavivu ajabu, wanafunzi nao ni wavivu mnooooo.

Sita:, kuvuja kwa mitihani. Zanzibar ni kinara wa kuvujisha mitihani , Zanzibar mitihani huvuja kuanzia ule wa darasa la nne, darasa la sita, kidato cha pili na kidato cha nne na hii imeharibu sana akili za vijana wengi mashuleni.


Naomba haya mambo wafikishiwe wahusika ili kuokoa hili janga la Kitaifa.

Haya ni matunda ya mapinduzi matukufu na malengo ya uvamizi
 
Hapo number 6 umesema mitihani inavuja sana huko, inawezekana vp mitihani ivuje sana Zanzibar ila bado wanafeli? Huoni kuna mkanganyiko hapo

Zanzibar kawaida ni zeros tu, hao watoto wa vigogo wanaonunua mitihani mbona nao hawafaulu, wanapata zero nao Pamoja ya kwamba wamenunua mitihani?

Umeongea mengi ila naona purposely umeamua kuruka sababu yenyewe inayopelekea matokeo mabaya Zanzibar na ukanda wote wa mwambao, nayo ni, elimu dunia kwao sio ya msingi Kama ilm akhera. Tunatafuta mchawi nani ilhali mchawi tayari anajulikana.

Si ndio tukapata watu wenye phd za makenikia na escrow na wengine wakajichukulia vijisenti
 
Tatizo ni mfumo uliopo. Watoto wa kizanzibar wanaosoma private schools za maana wanafanya vizuri sana..
 
Mkuu iyo sababu namba tano nimaekubali muno tena sana ✍
Amenikumbusha mbali tulikuwa na madam mmoja katokea Zanzibar yaan mvivu mno pia hakuwa competent class yeye kutwa kuwasema wanafunzi wa kike kuwa wanamuibia bwanake, yaan hawa watu vitukooo
 
Suala la kuwasawazisha visogo watoto wangali wachanga linahitaji utafiti PIA.

Nimesoma na wazanzibar huku bara Primary and secondary schools hakuna mwenye afadhali wanachojua Ni kero za muungano Tu na dini.
 
Amenikumbusha mbali tulikuwa na madam mmoja katokea Zanzibar yaan mvivu mno pia hakuwa competent class yeye kutwa kuwasema wanafunzi wa kike kuwa wanamuibia bwanake, yaan hawa watu vitukooo

Umenikumbusha yule kijana aliyekuwa Mtoto si rizki akiitwa Albert kutoka Tanganyika anaishi Kikwajuni ni hard working Sana amewasaidia mabaharia wengi
 
Amenikumbusha mbali tulikuwa na madam mmoja katokea Zanzibar yaan mvivu mno pia hakuwa competent class yeye kutwa kuwasema wanafunzi wa kike kuwa wanamuibia bwanake, yaan hawa watu vitukooo
Yan hawa jamaa wanazingua kinoma
 

Ukiacha makanisa yaliyokuwepo toka zamani (enzi za sultan na watawala wakuu waingereza), ni vigumu kujenga Kanisa jipya Zanzibar au kufungua Misheni
Rudi kwenye mada. Kuanzisha kanisa na ufaulu kuna uhusiano gani? Waulize wakristo walioko zenj wanasali wapi? Hayo makanisa 2 enzi za Uhuru yatawatoshaje wakristo waliojaa enzi hizi?
 
Mkuu,
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani. Mara nyingi Zanzibar nafasi za kazi hutolewa kwa sababu ya itikadi za kisiasa. Ukiomba kazi miongoni mwa mambo utakayochunguzwa ni chama chako na sehemu unayotokea au yote mawili. ikitokea wewe ni mpemba au chama chako ni CUF ajira kwako ni ngumu sana serekalini. Haya mambo yameanza zamani sana tokea enzi za Komandoo na kwa kiasi kikubwa haya yanayotokea sasa ndio matunda yake. KWa muda wote huo wapemba na wasomi na wenye weledi wa kazi waliokuwa na sifa hizo nilizozitaja hapo juu walibaguliwa ama kwa kunyimwa ajira/elimu ya juu au kufukuzwa katika sehemu zao za kazi mbali mbali wakiwemo walimu. Binafasi wakati nasoma sekondari shuleni kwetu walifukuzwa walimu wetu wazuri sana wa physics na Mathematics na wakati huo tuliwahitaji sana walimu wale kuliko wakati mwengine wowote! Wazee wetu waliojiweza kidogo wakaishia kutulipia tuition na wale waliokosa uwezo huo tukisaidiana kwa kugaiana material tuliokuwanayo na Mungu alitusaidia tukafaulu wote.

Niseme tu tatizo la Zanzibar linaanzia juu! Vyeo watu hupewa kwa sababu tu wametoka kwenye hili lichama kongwe!
Kwa mfano hata waziri wa elimu alieko Zanzibar kwa wakati huu si mtu mweledi, sitaki kusema mengi wacha nifunike kombe ila sidhani kama ana uwezo wa kuongoza hio wizara...na wizara nyengine nyingi ziko hivo. Sababu si madrasa na wala si uvivu wa watoto bali ni mfumo mzima wa serikali isiotakiwa ya CCM. Ni wakati sasa CCM wajione kama wamefeli na wawapishe wengine kama si hivo mambo yatazidi kuwa mabaya. Si kwa elimu tu lakini kwa kila idara.
Umenena kweli
 
Hapo nimeona hoja moja tu, hiyo ya 5 zingine zote sikubaliani na wewe hata kidogo
 
Back
Top Bottom