Zijue sababu 10 za wanawake walioolewa kuchepuka

picha
 
fact
 
umeelezea vyema bt kuna ke wanapitia mazingira yote ulotaja na hawachepuki, pia si kweli 97% za ke walioolewa wamewahi chepuka
mkuu usikatae huna experience na haya mambo.
Mimi nilishawajaribu wake za watu wa aina zote masistaduu,walokole,wastaarabu,vijana,watu wazima na wote nimetifua hakuna niliyemkosa.
Tena wengine ni majimama wa miaka 48 hadi 50 wakati mimi umri wangu ni early 30's.
 
Dah! namba 4 nikiwa Mzumbe na namba 10 ziliwah nitokea

Anyway life goes on but until now namba 10 jamaa we still celebrate together
 
Sina cha kuongeza mkuu.
Umemaliza kila kitu na umegusa angle zote
 
Unajishaua tu unakutana na Malaya wenzio,nzi hutua kwenye uchafuuu
 
Nimekutana na hiyo ya namba 7. Mme wake anagonga ngozi si kitoto. Hapigi kimoja hata siku moja. Pesa wanayo kiasi cha mboga si haba. Ila ndo mama ameamua kutumia pesa kuchepuka.

Ukimwuliza kwanini achepuke, anadai hapati faraja kwa mmewe kama ambavyo anapata kwa mchepuko.

Mchepuko uko mbali lakini mama anagharamia safari ya mwanaume afike aliko mwanamke japo akeshe nae night moja wakati mmewe kasafiri kibiashara. Kweli ndoa ni mtihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…