Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,697
Kuzimu ni mahali aketipo na kuishi mkuu wa giza anayeutesa ulimwengu huu.
Wale wafuasi wa nguvu za giza wanapotaka kwenda kuzimu hupitia mlango mdogo wa tundu la choo cha shimo.
Na milango mikubwa ya kuzimu ni bahari, ziwa, na Yale mabwawa makubwa Sana, Kama hakuna bahari au ziwa, na kuna bwawa tu ktk eneo husika, basi Wachawi hutumia hiyo njia kuelekea kuzimu.
Hawaendi huko na nguo zao, bali huvaa mavazi maalumu na huwa wana funguo za kuzimu tayari.
Hilo nitalielezea Siku nyingine kuhusu funguo za kuzimu na mavazi yake.
Ziwa Victoria, ni moja ya njia kuu za kuelekea kuzimu watumiazo Wachawi.