German ndio Super Power wa EU na ndio amekuwa threat kwa US.
Naona vita vya middle east vimefikia Malengo yake.
nchi nyingi za afrika zitaguswa na hili maana watahitaji kustablize kwanza hapo ndipo tutaisoma namba 2😵😵Duh kumbe kujitoa kwa UK kunaathiri sana kapu la EU, madhara yake hadi TZ miradi ya EU itadoda nahisi
Watu wakisema UK ni wabaguzi wengine wanakataa,sasa kati ya germany na UK nani alipaswa kupiga kelele?
nchi nyingi za afrika zitaguswa na hili maana watahitaji kustablize kwanza hapo ndipo tutaisoma namba 2😵😵
Wanapata market access. Yani ni sawa na mwanamke ukimlipia mahari, unaweza kumvua ch*pee mda wowote!Ivi nchi ikijiunga na EU inapata faida gani hadi ichangie pesa nyingi kiasi hicho.
Ww unafikiri huko kungekuwa kuna faida uk wangejitoa?Kwani ulifikiri hiyo EU inaendeshwa na sasa na fedha gani? Unafikri Jumuiya yetu ya AM sisi hatuchagii fedha?
Ww unafikiri huko kungekuwa kuna faida uk wangejitoa?
Uliza inapokea bei gani, sisi wazee wakukinga mikono tu. Halafu tuna jeuri kama vile tunazo. Utasikia hatuhitaji msaada wa mtu yeyote kuiendeleza nchi yetu. Siku msaada ukija meno yote nje na kusema asante kwa msaada huu maana ulikuwa ukihitajika sana.Na Tanzania inalipa bei gani kwa wazee.
swissme
Hilo la mfano wa mwanamke, sio hii mijike shupa ya siku hizi. Inapanga ratiba ya kuvuliwa chupi na waume zao halafu kutwa jf kusema hairidhishwi.Wanapata market access. Yani ni sawa na mwanamke ukimlipia mahari, unaweza kumvua ch*pee mda wowote!
Hiyo kawaida kabisa mkuu, hata kwenye kampuni shareholder mkubwa ndo anasikilizagwa zaidi, aliyesema money talks hakukoseaTatizo Germany na Ufaransa wameifanya E.U kama ndio Shirika lao binafsi,mambo mengi wanakaa na kuamua wao wawili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na Tanzania inalipa bei gani kwa wazee.
swissme