Kwani ukihoji unakatwa na nani anza leo kuhoji hata kwenda mtwara kuona inavyochimbwa ni haki yako make upo ndani ya nchi yako.Yote hii tusihoji gesi inakoenda.
Hizo takwimu za kikwete zakuombea misaada kwa wafadhili,rwanda hakuna nyumba ya nyasi,rwanda wanatulisha maharage kwa sasa,ethiopia,mozambique wanapaa kiuchumi sana