Zijue Kazi Za Ajabu Duniani...

Zijue Kazi Za Ajabu Duniani...

Wooote mmeorodhesha na kubandika picha za kazi zinazofanywa kwenye uchafu, lakini hapo hamna kazi chafu. Kazi chafu hasa ni hii hapa

DSC_0066reszied.jpg

Hapo wamelishwa ubwabwa, kiroba kimojakimoja na buku tatu ya mafuta ya pikipiki wakaona maisha bora...!!
 
watu8 huyu jamaa nasikia mshahara wake haumalizi siku mbili, unakuwa usha isha

Hahahah...ni kwamba jamaa analipwa kiduchu au ana matumizi makubwa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom