Zijue Kazi Za Ajabu Duniani...

Zijue Kazi Za Ajabu Duniani...

worst_jobs_08.jpg
Mpenzi wangu Madame B hii ni kali ya mwaka!
 
Last edited by a moderator:
Huyu mdingi nadhani kashapoteza uwezo wa kunusa kinyesi...maana atakuwa kashakichezea weee hadi pua imezoea harufu

2-sewers-cleaner.jpg
 
Duh!na hiyo ya kulisha mamba ikitokea umetumbukia wanakuokoa au ndo walee wasiomzoea mtu?

Utakuwa umewasaidia kulisha mamba kwa siku hiyo...maana wewe ndio utakuwa kitoweo
 
Unapopiga kazi kama hizi alafu ukapata ela ya kutakata wakati unatumia tabasamu lake huwa kubwa sana tofauti na zile ela tunazopata kiunjaunja
 
Wooote mmeorodhesha na kubandika picha za kazi zinazofanywa kwenye uchafu, lakini hapo hamna kazi chafu. Kazi chafu hasa ni hii hapa

DSC_0066reszied.jpg
 
Upo sahihi,lakini pia zina risk kubwa sana!

Sidhani kama yupo sahihi. Zingekuwa zina kipato kikubwa, hao wanaozifanya wangekuwa wanafanya kidogo baadaye wanapata mtaji na kuachana na kazi hizo za hatari. You can't convince me kwamba wapo confortable
 
Hii ya kunusa kwapa wakifanyia maeneo ya kariakoo mida ya saa 11 labda atarudi mnusaji mmoja tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom