makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,150
- 81,027
Yanapatikana katika hifadhi ya wanyama pori.Hii nayo ni kampuni kubwa??? Mbona sijawahi ona haya magari barabaran???
Yanapatikana katika hifadhi ya wanyama pori.Hii nayo ni kampuni kubwa??? Mbona sijawahi ona haya magari barabaran???
Unaelewa maana ya kampuni kubwa? Mbugani ndio barabaran???Yanapatikana katika hifadhi ya wanyama pori.
Vipi ASHOK REYLAND.. ? za wapi hizi? Naziona sana jeshini...
Hyundai je?
Waingereza watakuchinja wakikusikia.Aston Martin-USA
asante mkuuFIAT=
Fabrique
Italian
Automobile
Torino
Nissan hapo mwanzo ckuiweka kwenye uzi. kumbe alinikosoa nami 'nikaedit'. asantehuyo anaesema nissan sio kampuni kubwa kwa kigezo kipi maana wana magari mingi sana mabasi zamizigo ndogo za kifahari sijui katumia kanuni ipi au kwa kuwa tanzania hazipo nyingi ndio anaona ndogo
Audi ni subsidiary ya Volkwaswagen(Germany)...lamborghini ni muitalia lakini Audi wameacquire lamborghini tangu 1998Audi q ni ya wapi asili yake
Lambogine ni ya wapi (nimepatia jina kweli)
Nissan siyo kampuni kubwa?
Nyumbu Ile ya ilasi?9.NYUMBU - Tanzania
IndiaBajaj