GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
- Unafiki ukiutumia vizuri unaweza kukufanya uwe Tajiri japo hutomfikia Bill Gates.
- Unafiki ukiutumia vizuri unaweza ukawa ulale na Wapenzi wengi sana.
- Unafiki ukiutumia vizuri Ofisini Mabosi watakupenda na kukuamini.
- Unafiki ukiutumia vizuri unaweza ukajamba sehemu ya halaiki na ukamsingizia mwingine.
- Unafiki ukiutumia vizuri unaweza ukahama hama Vyama na ukakubalika kote.
- Unafiki ukiutumia vizuri hufi haraka.
- Unafiki ukiutumia vizuri unaweza ukapata tiketi ya kuwa Mchawi Mkuu ulimwenguni.