Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

Message…habari wana jamii .nimekuwa nikisikia sifa nyingi za mmea wa mlonge ,moja wapo ni kutumika kam mboga hasa majani yake.kwa huku kwetu mwisho wa leli hizo ni kama hadidhi,wengi hatufaham ,Msaada kwa yoyote anae jua namna ya kuandaa pishi hili anisaidie niweze kujaribu c mnajua uhondo wa ngoma ...........

Mlonge unasaidia katika mwili?
 
Swali wakuu je?? Mti huu unaweza kuota sehemu ya baridi mfano nikipanda mkoa wa iringa huko njombe unaweza kuota??

Niliwahi msikia mtaalam 1 wa tiba asili dr ndode akidai kuwa huu mti ndio ule mti ulioandikwa kwenye bible kua ulitumika kutibu maji je ni kweli?

Mimi nimeenda kupanda mwez huu wa tatu,nilichukua viriba vi 4 moja nimepanda njombe mijin na mingine napeleka kijjn wakapande,nilichukua huku kilimanjaro Hai
 
Mkuu , mlonge nimeupanda hapa home yaani ndani ya miezi nane limekuwa ni bonge la mti inabidi kukata matawi. Yaani kila kitu kuanzia majani, maua, mbegu n.k kina virubisho vingi. Mimi huwa nayatafuna majani kama mbuzi. Bado najiuliza kwanini huu mmea hautangazwi sana hapa tanzania.
Ukiona kinachotangazwa ujue kina madhara. Angalia vinywaji vinavyotangazwa kwenye redio na tv
 
ohoooo!!!
sasa tutumie nini kwa mtindo huu
Dawa zipo nyingi za kutumia tumia Mwarubaini,Majani ya mpera,majani ya muembe,majani ya mstaferi, majani ya Mbaazi,Majani ya Mkunazi na Mzizi ya hiyo Mimea na dawa zipo nyingi sana za kutumia.

Jua matumizi ya Mpera

Dawa zipo nyingi za kutumia tumia Mwarubaini,Majani ya mpera,majani ya muembe,majani ya msataferi, majani ya Mbaazi,Majani ya Mkunazi na dawa zipo nyingi sana za kutumia.

Jua matumizi ya Mpera

shukrani mkuu
 
Hajasema haufai kasome English course mzee
mjomba inaonyesha kiingereza kinakupiga chenga haumsikii anavyosema Dr.Sebi kuhusu Mlonge? mtafute Mwalim wako wa kiingereza apate kukutafsiria alivyosema Dr.Sebi.

Minister Dr. EnQi & Dr. Sebi CRUSH Chief X in Biochemistry of Hybrid Moringa from Senegal & Jamaica

Hii umeleta nyingine ile alikuwa anaelezea kile kitini walivoandika faida za moringa na madini na akilinganisha vitu gani vinaweza patikana kutoka kwenye moringa pia vinaweza patikana kwenye matunda au mboga alikuwa anapinga sio kweli.Cha msingi kila mmoja abaki na imani yake kuna watu inawasaidia kama unabisha sawa.
 
Mm natumia mlonge nkiumwa malaria ama nkiona mwili hauko sawa na napona na tangu nimeanza tumia moringa sijawahi kwenda hospitali,ngoja kila mmoja abaki na imani yake ndio itakayo mponya.
Dr Sebi on Moringa MLONGE HAUFAI KIMATIBABU.ANGALIA VIDEO HAPO CHINI.

Mimi Siwezi kubishana na wewe na sikuweka Video eti kwa kutaka kubishana na watu amini utakavyo amini lakini kwangu mimi Mlonge sio dawa na haifai kutumia kwa afya ya binadamu kwani mlonge asili yake ni Asidi na asidi ikizidi mwilini inaleta maradhi na kukudhuru shauri yako wewe tumia huo mlonge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom