Zijue barabara kubwa nchini

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,081
Zingatia T1 ndiyo barabara kongwe na inaanzia Dar Es Salaam mpaka Tunduma Border na kwajina lingine huitwa (TANZAM)

T1 ➡️ Dar es Salaam – Morogoro – Mbeya – Tunduma – Mpaka wa Zambia inapoendelea kama T2 (Zambia) (km 930)

T2 ➡️ Chalinze – Segera – Arusha – Namanga – Mpaka wa Kenya (km 650)

T3 ➡️ Morogoro – Dodoma – Singida – Lusahunga – Rusumo – Mpaka wa Rwanda (km 1100)

T4 ➡️ Mpaka wa Uganda – Mutukula – Biharamulo – Mwanza – Sirari – Mpaka wa Kenya (km 820)

T5 ➡️ Arusha – Dodoma – Iringa (km 690 )

T6➡️ Makambako – Songea – Mingoyo – Mtwara (km 930)

T7➡️ Dar es Salaam – Lindi – Mingoyo (km 480)

T8 ➡️ Mwanza – Nzega – Tabora – Rungwa – Mbeya (km 900)

T9➡️ Biharamulo – Lusahunga – Kanyani – Sumbawanga – Tunduma – Mpaka wa Zambia inapoendelea kama T2 (Zambia) (km 1000)

T10➡️ Mbeya – Kasumulu – Mpaka wa Malawi (km 100)

T11➡️ Nyakasanza – Kabanga – Mpaka wa Burundi (km 60 )

T12➡️ Songea – Mbamba Bay (km 165)

T13 ➡️ Segera – Tanga – Chuyuni – Mpaka wa Kenya (km 135)

T14 ➡️ Singida – Babati (section is currently unpaved (km 145)

T15 ➡️ Himo – Taveta – Mpaka wa Kenya (km 20 )

T16 ➡️ Mikumi – Mahenge (km 260)

T17 ➡️ Makuyuni – Musoma (km 440)

T18 ➡️ Manyoni – Tabora – Kanyani (km 520)

T19 ➡️ Kanyani – Kigoma – Manyovu – Mpaka wa Burundi (km 70)

T20 ➡️ Sumbawanga – Kasesya – Mpaka wa Zambia inapoendelea kama M1 (Zambia)km 100

T21➡️ Himo – Tarakea – Mpaka wa Kenia (km 50)

T22 ➡️ Rungwa – Itigi – Mkiwa (km 200)

T23 ➡️ Mpanda – Ipole (km 280)
 
Hiyo TI, Iringa haihesabiki?
 
Mungu ni mwema almost 94% ya hizo barabara nimepita na miji zinapopita nimefika.
 
Na sio Iringa tu hapo sijaiona Pwani Njombe na Songwe.
T haisimami kuwakilisha Mkoa bali inasimamia kuwakilisha mwanzo na mwisho wa barabara. Mara nyingi inawasaidia Wajenzi na wakaguzi wa barabara. Hata watu wa Navigation wakikuambia fuata T 1 wewe ukafuata T2 ushapotea.
 
T8 ya Mwanza, Tabora hadi Mbeya ni muhimu sana ila imetelekezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…