Zijue aina za CCTV-Camera na kazi zake

Mi nashauri tu kwa wewe ulieleta post na wengineo mnaodeal na hii biashara,jaribuni kutengeneza packages za bei nafuu kwa ajili ya maduka,ambazo nirahisi kuinstall kutumia na kumaintain.mtapiga sana pesa.lakini hizi za zilizopo wananchi wakawaida inakiwa ngumu kushawishika kununua.ni maoni tu
 
Mkuu nauliza tu; Nikitaka kuweka kamera kwenye makazi yangu, kwa ajili ya ulinzi wa kujilinda mwenyewe pande zote nne za nyumba, niweze kuamshwa ajapo mtukaribu na nyumba (tuseme mwizi) niamshwe (alerted) yawezekana nijue yupo upande gani?? Itaweza kuwa ka kiasi gani? Gharama ya juu na chini pia.
Unawezaka Mkuu ni wew tu
 
Back
Top Bottom