ati mwajua matawi ya michepuko?? Leo kwa masikio yangu wanaume wawili wanadiscuss ooh michepuko wa siku hizi ipo advanced kuna michepuko wa lami na mchepuko wa vumbi eeh nkauliza mchepuko wa lami upoje ati wa lami ni ule hauombi hela, upo njema unajua designer zote uwe nae usiwe nae maisha yake yanaendelea, eeh mchupuko wa vumbi ni upi ni ule ooh sina hela sijui simu imekufa charge ooh nipo saloon nadawai elfu thelathin aah hiyo ndo noma mana njia kuu lazma washtukie mana mchepuko vumbi full msg.