Zijue aina mbalimbali za wake!

Isipokuwa namba 5, 7, 8. Zote zilizobaki nahusika kwa namna moja ama nyingine.

Mke unatakiwa kuwa kama mchawi mchawi fulani hivi sio umepooza kama futari ya gimbi. Wanaume zetu hawa walivyo vichwa ngumu, ukipooza unaliwa kichwa.
 
Hayanaga formula mkuu..
Songa nae hivyohivyo alivyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…