Zijue aina mbalimbali za wake!

Zijue aina mbalimbali za wake!

1. MKE SHEREHE (party wife)
Hawa muda wote wanawaza sherehe na starehe tu, utawasikia kesho sendoff, birthday, graduation, mara kitchen party. Wako tayari kutumia hela ya chakula kwa ajili ya kununua viwalo, vipodozi, kutengeneza nywele, kuchangia sherehe.

2. MKE KAMUSI (dictionary wife)
Hawa ni aina ya wanawake ambao huamini mawazo yao tu huwa hawapendi kushauriwa na ni wabishi sana, huwa hawajali hata mume wake anasema nini.

3. MKE PAMPAS (pampas wife)
Hawa ni wavivu sana na wameharibiwa na familia zao, hasa familia tajiri, hawawezi fanya kazi yoyote wanatuma hovyo hata waume zao utasikia baby nipe hicho, baby njoo unitolee hiki. Kama kuna house girl au boy ni zaid ya punda kwao.

4. MKE OFISI (The office wife)
Hawa husahau kabisa majukumu yao kwa kisingizio cha kazi, wanajifanya kuwa bize muda wote na majukumu ya kiofisi kuliko hata familia au waume zao mara nyingi hawa wanaibiwaga waume zao na ma'house girls.

5. MKE MGONJWA (Sick wife)
Hawa muda wote ni wachovu na wanyonge, utasikia akilalamika kuumwa mara hiki mara kile huku hawaendi hospitali. Na wana lawama kama nini usiombe ukutane naye utajuta.

6. MKE MWALIMU MKUU (Headmistress)
Hawa hugeuka viranja ndani ya familia hata mbele ya mume wake anajifanya muelekezi mkuu na huuliza maswali kwanini hii hivi mara hicho hivyo pasipo kujali kuna nani hata kama kuna mgeni.

7. MKE NGUMI (Fighting wife)
Hawa muda wote ni wavarangati, na akiamua kulianzisha huwa hawaangaliii mazingira na ataongea bila mipaka na kama unaishi uswahilini kila jirani lazma atajua kimenuka, yuko radhi kukunjana na mume wake.

8. MKE NDOO YA TAKA (Dustbin wife)
Hawa huwa wachafu kupita kiasi hawajali hiki cha thamani au laa, utamkuta mchafu muda wote ni mara chache kutokelezea labda kwenye sherehe. Mara nyingi waume zao wanawakinai mapema

9. MKE MLINZI (protective wife)
Hawa huwabana waume zao mpaka kero, hujifanya wana wivu, wanawaona wanawake wote kama maadui na hawataki hata kuona rafiki yake akiwa karibu na mumewe. Anahisi anaibiwa ukirudi nyumbani badala ya kupokea mzigo mkononi anakupokea simu ilioyoko mfukoni.

10. MKE MZURI (Agood wife)
Hawa ndo wale walioandikwa kwenye vitabu vya dini. Hawa ni wapole wanyenyekevu, wasikivu hata kama amekosewa anatumia busara kumaliza matatizo yao. Wana mapenzi ya dhati, ni walezi wazuri na wanajua maana ya upendo kwa waume na familia zao.

Swali langu kwako:
Je wewe ni namba ngapi?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ohoooo
 
Jamaa una bahati sana sie wengine hadi baa wanatufuata yan balaa tupu yan kuoa imekua shida aisee wife alikuja barakuda stendi kuna klabu ipo kwenye mlango wa kuingilia daladala kwa pembeni hivi alimwaga bia zangu zooote,washkaji walishangaa,alinidharirisha sana...
Poleni Mkuu

Huyo ni chaguo lako 🤗
 
1. MKE SHEREHE (party wife)
Hawa muda wote wanawaza sherehe na starehe tu, utawasikia kesho sendoff, birthday, graduation, mara kitchen party. Wako tayari kutumia hela ya chakula kwa ajili ya kununua viwalo, vipodozi, kutengeneza nywele, kuchangia sherehe.

2. MKE KAMUSI (dictionary wife)
Hawa ni aina ya wanawake ambao huamini mawazo yao tu huwa hawapendi kushauriwa na ni wabishi sana, huwa hawajali hata mume wake anasema nini.

3. MKE PAMPAS (pampas wife)
Hawa ni wavivu sana na wameharibiwa na familia zao, hasa familia tajiri, hawawezi fanya kazi yoyote wanatuma hovyo hata waume zao utasikia baby nipe hicho, baby njoo unitolee hiki. Kama kuna house girl au boy ni zaid ya punda kwao.

4. MKE OFISI (The office wife)
Hawa husahau kabisa majukumu yao kwa kisingizio cha kazi, wanajifanya kuwa bize muda wote na majukumu ya kiofisi kuliko hata familia au waume zao mara nyingi hawa wanaibiwaga waume zao na ma'house girls.

5. MKE MGONJWA (Sick wife)
Hawa muda wote ni wachovu na wanyonge, utasikia akilalamika kuumwa mara hiki mara kile huku hawaendi hospitali. Na wana lawama kama nini usiombe ukutane naye utajuta.

6. MKE MWALIMU MKUU (Headmistress)
Hawa hugeuka viranja ndani ya familia hata mbele ya mume wake anajifanya muelekezi mkuu na huuliza maswali kwanini hii hivi mara hicho hivyo pasipo kujali kuna nani hata kama kuna mgeni.

7. MKE NGUMI (Fighting wife)
Hawa muda wote ni wavarangati, na akiamua kulianzisha huwa hawaangaliii mazingira na ataongea bila mipaka na kama unaishi uswahilini kila jirani lazma atajua kimenuka, yuko radhi kukunjana na mume wake.

8. MKE NDOO YA TAKA (Dustbin wife)
Hawa huwa wachafu kupita kiasi hawajali hiki cha thamani au laa, utamkuta mchafu muda wote ni mara chache kutokelezea labda kwenye sherehe. Mara nyingi waume zao wanawakinai mapema

9. MKE MLINZI (protective wife)
Hawa huwabana waume zao mpaka kero, hujifanya wana wivu, wanawaona wanawake wote kama maadui na hawataki hata kuona rafiki yake akiwa karibu na mumewe. Anahisi anaibiwa ukirudi nyumbani badala ya kupokea mzigo mkononi anakupokea simu ilioyoko mfukoni.

10. MKE MZURI (Agood wife)
Hawa ndo wale walioandikwa kwenye vitabu vya dini. Hawa ni wapole wanyenyekevu, wasikivu hata kama amekosewa anatumia busara kumaliza matatizo yao. Wana mapenzi ya dhati, ni walezi wazuri na wanajua maana ya upendo kwa waume na familia zao.

Swali langu kwako:
Je wewe ni namba ngapi?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Dictionary.
Sasa kila msamiati unakwama.
Anajikuta muda mwingi hana furaha.
Akijishusha,furaha inarejea.
 
Nina experience na na huyo namba 5 aiseh anachosha sana alikuwa mara ananiambia anatatizo la homoni mara kizazi chake akipo sawa mpaka azae mara macho yansumbua yaaan kila siku anaumwa ....
Nb: hakuwa mke alikuwa mpenzi tu tukashindwana
Itabidi mtoa mada atupee solution, darasa na maujanja ya kuishi vizuri na wapenzi wa aina hiyo namba 5, kibusara bila magomvi nao.
 
Hyo namba 2 hapo juu Kwenye mada ,aiseee ombaa uckutanee na aina ya huyo mwanamkee utawezaa kwendaa jelaa..
 
Ngoja nibadilishe umiliki kwanza yan hiyo miswaki na sabufa iwe ya bi mkubwa tu ndo nifanye uamuzi...kama ashraf hakimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😅😅😅😃
Pole sana... Mie huwa siwazi hivo vitu ambavyo kesho nakufa naviacha, sii kipaumbele changu hicho.

Pole sabufa yako iandike jina la bi mkubwa na jagi la kuchemsha maji usisahau mapazia ka vipi yatoe kabisa akakae nayo
 
Ni somo murua kwa ambao hatujaoa tujipe muda wa kuchunguza tuchague wa kuendana na matakwa yetu. Ila namba 2 na 6 wanavumilia unaweza ukabeba
 
Back
Top Bottom