Zijue aina mbalimbali za wake!

Ohoooo
 
Poleni Mkuu

Huyo ni chaguo lako πŸ€—
 
Dictionary.
Sasa kila msamiati unakwama.
Anajikuta muda mwingi hana furaha.
Akijishusha,furaha inarejea.
 
Nina experience na na huyo namba 5 aiseh anachosha sana alikuwa mara ananiambia anatatizo la homoni mara kizazi chake akipo sawa mpaka azae mara macho yansumbua yaaan kila siku anaumwa ....
Nb: hakuwa mke alikuwa mpenzi tu tukashindwana
Itabidi mtoa mada atupee solution, darasa na maujanja ya kuishi vizuri na wapenzi wa aina hiyo namba 5, kibusara bila magomvi nao.
 
Hyo namba 2 hapo juu Kwenye mada ,aiseee ombaa uckutanee na aina ya huyo mwanamkee utawezaa kwendaa jelaa..
 
Ngoja nibadilishe umiliki kwanza yan hiyo miswaki na sabufa iwe ya bi mkubwa tu ndo nifanye uamuzi...kama ashraf hakimiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜ƒ
Pole sana... Mie huwa siwazi hivo vitu ambavyo kesho nakufa naviacha, sii kipaumbele changu hicho.

Pole sabufa yako iandike jina la bi mkubwa na jagi la kuchemsha maji usisahau mapazia ka vipi yatoe kabisa akakae nayo
 
Ni somo murua kwa ambao hatujaoa tujipe muda wa kuchunguza tuchague wa kuendana na matakwa yetu. Ila namba 2 na 6 wanavumilia unaweza ukabeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…