Zijue aina mbalimbali za wake!

5. MKE MGONJWA (Sick wife)
Hawa muda wote ni wachovu na wanyonge, utasikia akilalamika kuumwa mara hiki mara kile huku hawaendi hospitali. Na wana lawama kama nini usiombe ukutane naye utajuta.
Sijawahi kupiga mtu kabisa, sembuse mwanamke.

Ila hapa mtu niliekuwa nampenda sana, niliishia kumpiga makofi, na mwisho mi mwenyewe kujuta na kuingiwa na huruma baadae SnoviaJ mtoa mada hapa upo sahihi sana ni usiombe kuzama deep in love na mwanamke wa aina hii, ni utajuta kwanini ulipenda ni full drama.
 
Namba 10 huwa hawana bahati na wanaume waelewa mara nyingi wanaolewa na vijamaa vicheche balaa,ngumu mkononi,wababe w

Wale wenzangu na miye hadi Kifo kitutenganishe tuendelee kunywa mtori .....🤗
Jamaa una bahati sana sie wengine hadi baa wanatufuata yan balaa tupu yan kuoa imekua shida aisee wife alikuja segerea stendi kuna klabu ipo kwenye mlango wa kuingilia daladala kwa pembeni hivi alimwaga bia zangu zooote,washkaji walishangaa,alinidharirisha sana...
 
Nina experience na na huyo namba 5 aiseh anachosha sana alikuwa mara ananiambia anatatizo la homoni mara kizazi chake akipo sawa mpaka azae mara macho yansumbua yaaan kila siku anaumwa ....
Nb: hakuwa mke alikuwa mpenzi tu tukashindwana
 
Daaah mie wangu aisee ni mseto.
Wangu ni 7,9 na 10.
Mkizinguana vitasa ila ni vitasa vya kimya kimya,pia ana wivu wa kiwango cha maglev railway mwisho ni mke mzuri aisee anayetimiza majukumu,anayejali na anayesikiliza.
Mtoto wa kinyaturu huyo aisee.
 
7,kubamizana,
 
7,kubamizana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yamekuwa hayo tena?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Baa gani mkuu The Great nini?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…