Zijue aina 10 za ndoa

Zijue aina 10 za ndoa

11. NDOA YA WINE

-Ndoa hii muhusika huwindwa kwa lift toka kitambo mpk anajisahau na kumchukulia the hunter km kaka ake hivyo kukaa nae hata usiku mnene mtu mbili tu.

-Ndoa hii hutaka kuvunjika pale mtuhumiwa anapoamka nakujikuta kwa bed CHIU huku chipupa ikiwa ina UTOMVU like gel baada ya last night kuvunga yeye ni chronic wine aspirator kumbe kichwa cha senene analewa hata fanta orange.

-Ndoa hii haivunjiki kamwe bali muhusika atabaha kdg mwanzoni ila akifikiria si bikira basi siku nyingine atajileta mwenyeeewe maghetton kwa the hunter.
 
Ndoa za upendo pamoja nakuishia 1978, shombo shombo yake iliendelea kuwepo hadi simu zilipoingia kwa wingi miaka ya 2000, ndio zikaharibu kila kitu.....nadhani kwasasa zinaongoza za maonyesho....ambazo kila watu wakirudi home ni ngumi tu.....dah na kwa michepuko ni balaa.....sijui ninani alaumiwe.
 
Ni kiwango cha juu cha ubunifu wa vijana siyo kila siku approach moja
 
Hili jukwaa bhana hata kama nina stress huwa zinakata ghafra maana ni burudani tu mi nimependa ndoa ya upendo kilichonifurahisha zaidi mtoa uzi kaua kabs akadai zimeisha baada ya vita ya kagera 1978 kuna ukweli lkn kwa sasa ngoja nicheke kwanza mkuu maana umenifanya nianze cku vzr ni hayo tu
 
Duh hii kali....ngoja nichague ndoa moja hapo kabla ya kuoa.
 
Karibuni tuangalie aina hizi 10 za ndoa.

1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu.
Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu,baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana!

2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE)
Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka kati mume18 mke 16.Huvunjika baada ya miaka 3 au 4 ya ndoa.

4. NDOA YA MAONYESHO
Wenye ndoa Hii hupenda kujionyesha barabarani.Ila ndani hazina utii.Hupigana kila wanaporudi kutoka kwenye mizunguko. Cha kushangaza huwa hazivunjiki lakini ndiyo ndoa zinazoongoza kwa kuchepuka!

5. NDOA YA UHAMISHO.
Hufungwa na watumishi wa vijijini na mjini. Ili wa kijijini ahamie mjini.Mahari utoa anaetaka kuhamia mjini. Hata kama mahari atatoa mume lakini hii ndiyo ndoa yenye ukakasi zaidi.Huvunjika mara tu wanapoanza kuishi wote mjini. Salama ya hii ndoa ni kuhama kutoka mjini kwenda kijijini.

6. NDOA YA MIMBA.
Hufungwa kwa sababu wanaoowana hawataki kuonekana makwao kuwa wamezaa nje. Au muolewaji alikuwa hampendi muoaji kwa dhati.Muoaji hutumia mimba kama mtego wa kuingia ndoani. Hii huvunjika mtoto akizaliwa na kufikisha mwaka 1.

7. NDOA YA MALI (UTAJIRI)
Muolewaji miaka 18 au 28 Muoaji 65 au 70.Ndoa hii pia huitwa ndoa ya babu na mjuukuu. Ndoa ya aina hii hudumu, kwasababu mwenye kauli ni mwenye mali. Asilimia kubwa ya waume wa ndoa hizi hulea watoto wasio wao.

8. NDOA YA KWASABABU.
Hufungwa ili mradi muoaji au muolewaji aonekane tu kwa jamii kuwa naye kaoa au kaolewa.Huwa hazina utii wala upendo dhati. Ndoa ya aina hii ikifikisha miaka 4 huwa hazivunjiki wahusika huishi kwa mazoea.

9. NDOA YA UPENDO.
Ndoa hizi ziliishia mwaka 1978 kabla ya vita vya kagera.Muoaji na muolewaji hawakuangalia vitu ila utu tu ambao uliwaunganisha na kutengeneza upendo wa kudumu. Hii ilidumu miaka yote.ila Leo hii chache mno

10. NDOA KUCHUMA
Ndoa hii ufungwa ili mradi muoaji au muolewaji akapate kitu au vitu fulani kutoka kwa upande mmoja wapo. Hii hudumu miaka kadhaa kutegemea na malengo ya mhusika. Wengine husubiri mpaka mhusika afe,lkn hujikuta wanakufa wao kwanza.

Kuwa mwangalifu
 
11. NDOA YA WINE

-Ndoa hii muhusika huwindwa kwa lift toka kitambo mpk anajisahau na kumchukulia the hunter km kaka ake hivyo kukaa nae hata usiku mnene mtu mbili tu.

-Ndoa hii hutaka kuvunjika pale mtuhumiwa anapoamka nakujikuta kwa bed CHIU huku chipupa ikiwa ina UTOMVU like gel baada ya last night kuvunga yeye ni chronic wine aspirator kumbe kichwa cha senene analewa hata fanta orange.

-Ndoa hii haivunjiki kamwe bali muhusika atabaha kdg mwanzoni ila akifikiria si bikira basi siku nyingine atajileta mwenyeeewe maghetton kwa the hunter.
Ha haa,duh....!!!
 
Back
Top Bottom